"siku zote , watu wenye hatia ndio huwa waoga. Watu wasiokuwa na hatia, sio waoga. Mimi sio mwoga kwa sababu sina hatia. Sina hatia. Na kwa sababu sina hatia, mimi niko tayari kukaa gerezani as long as it takes kupigania haki. Bob Marley aliiimba hivi. UKweli unaweza ukawa ni kosa la jinai kwa watawala waovu. Haijawahi kuwa dhambi. Truth may be an offense, it is never a sin." Tundu lissu.
2026-11-07 08:25:58
3
JOHN KY 🇹🇿🇹🇿🇺🇲🇺🇲 :
:it's true father may God protect you
2026-11-06 19:48:26
3
user9481381668427 :
good bless Mr lisu
2026-11-06 20:21:57
2
mselle kariakoo shoes shop :
legend
2026-11-07 12:42:07
0
Jacob Cm :
Thus why
2026-11-06 18:43:41
3
chidyphones :
Inaumiza sna sna hii da
2026-11-06 18:20:13
6
Tunduma_yetu :
2026-11-06 19:31:20
3
Awadh salim :
Maneno ya kishujaa🙌💪
2026-11-06 20:21:30
2
paul jimmy :
dah nitakihadisia kizazi changu kuhusu wewe na Tanzania yetu, hakika wewe nishujaa wa taifa letu
2026-11-07 05:47:42
1
Faustine s lukuba :
naamini lisu kaingiza hela nyinyi sana kwenye mtandao , lazima mitandao imlipe from all source Media
2026-11-07 07:20:07
1
Quavo huncho🍗 :
2026-11-06 19:28:16
2
Buuh Somalian :
kuna muda omba ucpitie situation ambayo wewe na mungu 2 ndio munajuwa ukwel ni ngumu sana kumuaminisha m2 mwngne
2026-11-07 03:40:28
1
Barnaba clement :
sure
2026-11-06 20:40:59
1
Janeth Qboy :
amen 🙏
2026-11-07 06:29:54
0
BIN ABDALLAH :
jamn kiukwe tund lis nimtu asie nahatia. mahakam engeangalia upande wa pil mwaka mmoja na miez saba simchezo kwenye miaka minne alio hukumiwa itolewe mwaka mmoja na miez saba Ili Baki haukumi maana kwamba lisu achiwe hul
2026-11-07 10:23:42
0
MASHA UNYUNYU :
Sasa Wazazi wetu Wanasomeshaaa Watoto Wao Kwa Sababu Gani Kama Leo Zimeshindwana Hapa Akiri
2026-11-06 19:20:03
3
Medy✔️ :
Saivi tutakuita mzeee wa mipasho😂😂😂😂
2026-11-06 19:29:16
2
kelvinkamnyuka :
🔥🔥🔥
2026-11-06 22:36:20
0
salomekigabo17 :
🥺🥺🥺🥺
2026-11-06 20:12:40
2
user8345184193513 :
🚱
2026-11-06 19:05:47
3
To see more videos from user @elimumtaa_tz, please go to the Tikwm
homepage.