katika kitu ambacho nitaanzisha kanisa la Mungu ni kwamba shv makanisa ya kiroho kama TAG na mm ji mwana TAG siku hizi KUSIFU NA KUABUDU HAKUNA KITU YAN MDA MWINGI MICHANGO MICHANGO yan nyimbo za sifa wanapiga moja au mbili kuabudu daika mbili neno nusu saaa tu daa inaniuma sana tena sanaaa kwanini mambo ya ujenzi na michango ndo yanachukua mda mwingi kuliko KUSIFU,KUABUDU NA NENO ....MUNGU TUSAIDIE
2026-11-06 18:31:59
6
Madam Rose🥰 :
diniii hiyo
2026-11-10 07:57:09
0
Mwakamele _Titina :
Hapa maana yake makanisani tugonge Sebene tuachane na Woza woza. Sebene ndio mziki unaotambulika kwenye mfumo wa Bezaleli!
2026-11-07 05:39:00
1
Yesu yu hai :
Amina baba yetu tunakupenda sana
2026-11-07 07:28:56
2
minister John Mwankotwa :
ungesema mupunguze kwanza matangazo ya michango
2026-11-07 14:51:02
2
Musa Ndorosi :
miziki ktk makanisa ni kuua roho za watu ktk kumtumainia na kufanya ibada kwa Mungu alie Muumba wa vyote
2026-11-07 11:12:46
2
babraham bloda :
umeongea baba
2026-11-09 10:26:40
0
Paulo bayang gichenoga :
amin
2026-11-07 08:03:20
2
Lilian Obadia :
Amen Askofu
2026-11-07 09:11:41
1
Dayoon@01 :
Ubarikiwe sana baba 🔥🔥🔥
2026-11-07 09:34:29
1
rachelbalama :
natamani kupost kwa group la kanisa
2026-11-07 10:14:20
1
user5317879380307 :
mmh kwel baba maana saivi eneo la kusfu na kuabudu lmenymwa mda sana na hasa kuabudu ndo kabisa mpaka namisi ibaada za mwakasege na mtumiish Danieli Joshuwa wa Goba inaada za hawa watu zmejaa kuabudu sana mpaka raha wingu la roho mtakatifu hutembea sana kwenye ibada hz
2026-11-06 20:52:40
2
Francis m.adam :
Aminaaaaaa Baba barkiwa sanaa
2026-11-07 03:40:05
1
linah mideko :
amina
2026-11-07 09:01:36
1
KABOHOLA TV🍊 :
Amina Baba
2026-11-09 19:21:30
0
nekista :
Amen.
2026-11-07 08:04:58
1
CHILO STORE :
Amen
2026-11-09 05:24:04
0
teddy mathias :
Amina
2026-11-06 18:03:14
0
mwamini kifyasi :
amina
2026-11-10 09:07:55
0
OBEDY JOHN :
myaka kumi 13 yamoto wa uwamsho
2026-11-09 04:44:56
0
Bella28 :
amina baba
2026-11-08 14:15:07
0
sebastian :
Amina baba Mungu akubariki sana
2026-11-08 03:04:17
0
glory :
amina
2026-11-07 20:45:04
0
Moses :
Amina
2026-11-06 18:10:21
0
To see more videos from user @tagonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.