we jamaa kadri unavyozid kuwa kwenye siasa ndivyo unazidi kuwa kiongozi bora
2026-11-06 19:46:30
252
Yuyajunior :
aya ccm huwajui vzr eee 2030 watakuondoa
2026-11-06 18:30:30
66
😏 :
Baba Revo kakua jaman
2026-11-06 19:59:09
41
eliadadionizi :
kwa maana hiyo Lissu anatakiwa kufungua mashitaka kwa sababu kakaa mwaka mzima kwa kes ya uhain ambayo haikuwa kwel kwa nn wampotezee mda? na anatakiwa kulipwa kwa sababu hakua na kes iliyomkabil leo ndo tumejua kosa lake n uchochez tuseme kesi yake imeanza leo mwaka mzma walikuwa wanampotezea muda
2026-11-06 20:24:04
23
Elia :
kiongozi tunae na tunatamba nae
2026-11-06 19:20:36
46
life is good :
baba levo Mimi sio ccm ila nakukubali sana umenyooka😂
2026-11-07 04:22:42
20
mgulusaidkiyanga :
Baba levo heshima yako
2026-11-06 20:44:26
28
K Anandi Mbemba :
Baba levo kaka angu umejawa na hekima kubwa Sana na huruma
2026-11-06 19:23:37
23
Mr.. Nicopoul :
japo sijasoma Sheria lakin inawezekana vip , Leo Leo kesi ya uchochezi na ilikuw inaendelea kesi ya uhaini kwa Nia nzuri ili niweze kuwa uelewa siku nyingine
2026-11-06 19:50:57
10
kado man. :
chadema ooooooo
2026-11-06 19:19:06
8
Massawe Junior🇹🇿 :
levo unaakili sana
2026-11-07 10:59:50
1
Mwarabu Maite :
Aisee Ni Ukweli Kabisa
2026-11-07 11:06:47
1
sarah :
baba levo ni baba angu
2026-11-07 05:08:07
4
Eisha :
nakupenda sanaa mbunge wetu umeongea point kweli 😭😭😭😭
2026-11-07 10:48:15
2
Sifa Gloria :
watakufukuza bungeni ila unaongea vizuri
2026-11-06 22:19:03
2
my martha :
pamoja sana
2026-11-06 22:16:55
2
Phinah :
baba kakua ayeeeh kakua baba levo
2026-11-07 05:59:57
2
Esskeetit :
kigoma wana bahati sana
2026-11-06 20:17:18
15
lily :
siasa ni mchezo mchafu sanaaaaaah ila mungu ipo siku atawahukumu to
2026-11-06 19:58:12
8
Bby mama🥰 :
Kabisaaa
2026-11-06 20:00:15
4
getruda tarimo :
shikilia neno kumpa
2026-11-06 20:23:16
3
Dicksozy🔥Tz11 :
ni kweli bro [Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-06 19:44:34
3
Mrs frank :
Nilichogundua kuna watu wengi wapo magerezani bila hatia wamekandamizwa tu na watu wenye hela.😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-07 08:37:45
1
Richard Chuvaka :
God is great 🙏🏾🙏🏾
2026-11-07 06:03:11
2
To see more videos from user @alphakizzy1, please go to the Tikwm
homepage.