😢😢😢Huyu mzee akitoka jera akiwa anapumuwa bs anakuwa Rais 2030🙏🙏 kama siyo hivyo bas kuna haya ✌️
2026-11-06 21:00:40
590
🦋𝔦𝔱𝔰 𝔭𝔥𝔞𝔱𝔪𝔢𝔯➳♥ :
Daah namuonea huruma jmn af mwenyew at hajihurumii jmn😭
2026-11-06 21:06:46
542
enjl699 :
Mungu usiruhusu watu wazuri wateseke hivi🥹
2026-11-07 04:18:48
162
Abdully__Khan, :
LISSU GooD Akusaidie💯
2026-11-06 20:34:53
259
jemimah :
kumbee kaachaa husiaa kabisaa😭😭😭 daah
2026-11-06 20:06:28
98
Hussein kombo :
mimi sijawahi kumkubali huyu mzee
2026-11-07 00:07:12
54
mrs msaka pey buck up :
dah huy alikuw ni mrith wa magufuli ni vile tuu hatuna mtetezii🥺🥺
2026-11-07 05:19:47
25
Kimkhiptiy :
daaaah uyu baba mungu amtie nguvu wallah😭😭😭😭😭😭mungu amsimamie kwa ili
2026-11-06 20:18:23
122
mamaa :
alivyoongea km magufuli amenikumbusha mbali sana lisu tunakupend sn mung atakusaidia utatoka salama sisi tunakusubir
2026-11-07 04:07:35
24
Shukran Ramadhani :
pole baba🙏🙏🙏🇹🇿🦾
2026-11-07 10:08:14
0
losabel :
had machoz yamenitok🥺🥺🥺
2026-11-07 12:32:36
0
Adriano tito :
God bless you fighter
2026-11-07 12:54:45
0
🏀Yuxtoo#🏀🏅🏅 :
BIG TUNDU LISU TUPO NA WEWE✌️✌️✌️For life,peples power......
2026-11-07 11:53:14
3
Briana :
binafsi sishoboki na SIASA ila huyu baba na Polepole ni watu wanaoniumizaga sana kila nikiwafikiri😭🙌
2026-11-06 20:57:45
83
MR#YUZZO😎 :
why does god always stop and allow good people to burn why why..
2026-11-07 06:19:10
0
Lighter07 :
Few will understand 🫡
2026-11-07 13:00:11
0
de cruz :
sad moment 😔😥 Tanzania 😓
2026-11-07 07:18:09
0
💫Real Nelly🦋🦋 :
Daaaah! Inauma sana Inaumaa sanaaaaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭NImeunia Sana
2026-11-06 20:12:36
30
chimbo la wafanyabiashara :
mm sio mwanasiasa ila nimeumia Kila nikifikilia juu ya huy baba nalia tu
2026-11-06 20:52:06
32
~~Offical Faarhia❤️ :
Acha nilie nitawakuta 😔
2026-11-07 11:27:51
8
roby tx :
tuna kukubali kiongozi wetu
2026-11-06 19:26:23
24
miss pierre :
me sio mwanasiasa ila nimelia nimeumia sana ila hii nchi😭😭😭 Mungu akuonekanie wamesema miaka minne ili utoke 2031 wakati uchaguzi umepita sawa tu yote maisha Mungu akurinde huko gerezan
2026-11-06 21:19:45
40
꧁✞•Kim☬Nanaah•✞꧂ :
Eeh Mungu sikia kilio ya huyu baba 😒😪😪😪
2026-11-07 07:29:46
19
Queen mamu💕💚 :
inauma sna unapitia magumu alaf unatabasamu tu😭😭😭
2026-11-06 20:50:35
11
❤️🔥Official mommy 💘💔 :
Eeh mungu muhulumiee lisu anaongea akiwa ana lia 😭 jmn Dunia iih
2026-11-06 22:22:47
6
To see more videos from user @ukweli_mchungu, please go to the Tikwm
homepage.