@mr_kelvine: Kama aliwahi kukwambia tuachane sikiliza hapa...🤔 #mrkelvine🌹

Mr Kelvine🌹
Mr Kelvine🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 19:06:57 GMT
123460
6330
79
430

Music

Download

Comments

user2525400451494
nessious ❤️ :
tulikua tunaambiana Kila siku lkn Leo ni mume na mke na mtoto na Bado tunaambiana na mpango wa kuachana hatuna Nina mimba ya pili
2026-11-07 04:56:50
12
flavianamushi1
flaviana mushi :
nikweli
2026-11-06 19:52:03
1
miss_anjoury
Anjlom🥰❤️ :
Tunaachana na tunarudiana msituchoshe🤣🤣
2026-11-07 06:00:02
13
missrenny06
@missrenny06 :
Mm ndio huwa namwambia ila ananikosea ni haki yangu coz nilimkuta anachat na ex wake na ex wake ni mke wamtu na alibeba mimba ya mwanaume mwingine akiwa anaishi nae na akaenda kuolewa nae akamuacha sasa yupo namm huku anachat nae kama angekuwa anampenda asingebeba mimba ya mtu na kuolewa nae mm namwambia na ntazidi kumwambia coz saiv hisia zishakufa kwake sina kabisa kutokana na vitendo anavyonifanyia
2026-11-07 16:24:25
0
flower_of_jannah0015
flower🥀_of_Jannah🌺 :
mimi napita tu lakini msiwahi rudiana na mtu aliekuacha kamwe😭
2026-11-07 10:37:33
2
dpascali
Dpascali ✊️ :
nikweli kabic kaka 🥺🥺
2026-11-07 16:03:54
0
sweet_lee1521
Lilly :
kama akiwa amelewa je akakwambia muachane
2026-11-07 00:09:59
1
mtoxicsally
sally wa Asernal :
ukweli kabisa
2026-11-07 15:23:01
0
mwanahamisijuma7
wasfati :
na aliyesema tumeshindwana je apo inakaaje
2026-11-07 16:10:53
0
esthernaimol
estherbeautiful 🎵❤️ :
na nikisema hua namaanisha kbs
2026-11-07 14:40:58
0
nijomtunduma1
nijomtunduma 🍀💨✌🏽DPY🏆🍁✅🏡 :
✌✌Kumbe
2026-11-07 15:21:02
0
officialdath2
🦋tee😘 :
Mbn me nikikasirika siwez kuongea 🥺
2026-11-07 16:24:57
0
user4968481904622
Lovely🌹 :
mm wang akiw n hasira wallah huw ana nyamaz kimy
2026-11-07 15:46:05
0
vanessatomomy
vee kama vee🦋🦋 :
so kweli mm huwa nafanya maamuzi nikiwa sina hasira
2026-11-07 06:15:38
1
salamahassan8793
salama :
Kwel kabisa
2026-11-06 21:42:43
1
irene.qute0
Ladyreen :
nd mm huyo
2026-11-06 21:57:30
1
musafiri60
Miri💕 :
Njo kweli ile 💔
2026-11-06 21:11:04
0
m.t0630
momo :
kweli
2026-11-06 20:55:43
0
aishamwi4
Aisha Life ❤️❤️💕 :
atawewe ulisha achana mkarudiana tena nikawaida tu kwenye hasira
2026-11-07 12:08:31
0
ndigwako.mwaisame
Mrs Makete :
Sio kweli
2026-11-07 12:06:28
0
chalah.mrabah
naaah 😇(chalah gal.'😘 :
duuuh kumbe
2026-11-07 16:36:58
0
abuuhawaa
Abuuaisha :
kweli
2026-11-07 14:17:53
0
stevb336
stevb :
uongo
2026-11-07 13:09:31
0
mke4tini.54
LAjamini 54⚽ :
kwli kak
2026-11-07 12:22:26
0
anwarsalim915
Anwar Salim :
kweli kabisa brother
2026-11-06 21:49:09
0
To see more videos from user @mr_kelvine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About