@arm.reproductive.h: Aina 4 za Ute: Je, Unajua Ute Wako Unamaanisha Nini? 🩺⚠️* > ⚠️ *Ute Wako Ni Lugha ya Mwili Wako.* Wanawake wengi wanapata mabadiliko ya ute bila kujua nini kinaendelea ndani ya mfumo wao wa uzazi. Leo nataka utambue utofauti huu muhimu: ⚪ *Ute Mweupe (Kama Maziwa ya Mgando):* Hii ni ishara kubwa ya maambukizi ya Fangasi. 💧 *Ute Rangi ya Maji (Clear):* Huu ndio ute sahihi na wa kawaida kwa mwanamke mwenye afya. 🟡🟢 *Ute wa Njano au Kijani:* Hii ni ishara ya PID (Infections kwenye via vya uzazi), mara nyingi huambatana na harufu mbaya na maumivu. Usipuuze mabadiliko ya mwili wako. Programu yetu ya asili inalenga kusafisha mfumo wako kuanzia ndani kurejesha usafi na ujasiri wako asilia. ✨🛡️ 📥 *Bofya kitufe cha WhatsApp hapa chini* kupata ushauri wa siri au kuanza safari yako leo 👇 https://wa.me/255622346728 #WomensWellness #SexualHealth #creatorsearchinsights #womanwellness