@kenkeepitdeep0: Mmtishie waitara lakini msije mkamthulumu jamani #waitaraltrending#zanzabzartowaitara#kidaisitowaitara#kidaisitotanzania

🎲 KIDAISI
🎲 KIDAISI
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 06 November 2026 19:20:38 GMT
112189
2656
256
274

Music

Download

Comments

fahadgeneraltraders
FAHAD GENERAL TRADERS 🇹🇿🇨🇦 :
mtihani kwakweli Allah amuhifadhi waitara
2026-11-07 03:57:54
86
iam.emmy90
iam-Emmy :
ili tena la wapi
2026-11-06 20:35:28
64
godfrey7705
god of war❤️‍🔥 :
sijawi ona serkali mbovu kama hii yangu nizaliwe
2026-11-07 03:52:42
102
omary.ok
G.luck :
hawa Wana watu wao nasema
2026-11-06 20:57:35
53
hanipha.kikunile
Nphat uk :
hiii awamu jamani ni mbovu kupindukia mbona mambo yanakua hivi eeee baba Magu R.I.P
2026-11-06 22:16:56
42
becka.tanzania
BECKHAM QUOTES :
mnauhakika Tanzania ina viongozi kweli?????? nakama wapo hawaoni haya yanayo endelea mitandaoni????? daaah taifa liko pabaya kweli
2026-11-07 08:11:17
13
user1308474550138
Joseph :
ivi kesi ya uhaini ikojee?
2026-11-07 01:10:07
13
roserobert582
madame rose :
ila uyu ni mkenya😂
2026-11-06 21:12:47
9
mustapha.omary32
Mustapha Omary :
Samia must Go
2026-11-07 11:03:36
0
missgee424
Miss🥰Gee🍭 :
Jaman Kwan Ma Samia anasemaje
2026-11-07 06:42:13
3
lightnesssiriwa
lightnesssiriwa :
Yani amejipodoa kunizidi Mimi daa 😭😭
2026-11-07 08:11:07
1
user6110277295144
emm :
Serikali yetu ni ya hovyo Samia must go
2026-11-07 08:46:39
11
joeltajirikipamba
Joel Kipamba :
Sijawahi kuona Serikali mbovu kama Hii toka nizaliwe mm
2026-11-07 08:18:14
1
muhammedmakame0
muhammedmakame388 :
ALLAH YUPO ATAKIFUNDISHENI ADABU NA KUITETEA DINI YAKE INSHAALLAH SIO MBALI BALI ADHABU YA ALLAH IPO KARIBU KWA UWEZO WAKE
2026-11-07 06:15:27
10
juliethlugembe277
Julieth Lugembe :
yesu kristo ndio jibu la haya yote wamama tuwalilieni watoto wetu tutafute siku uwanja wa taifa wamama Tanzania nzima iwe siku ya kulipa tu🙏🙏🫧
2026-11-07 11:25:32
4
angelista.kaishoz
Angelista Kaishozi :
Uyu Dada ni wawapi
2026-11-07 11:16:46
1
giftymwakipesile
Sir GIFTY :
nishapata jibu
2026-11-07 04:52:03
2
user817686119073
Joshua mathias :
duu huu utawala sio
2026-11-07 04:08:16
3
city.fashion02
city fashion :
mmmmh! kila mtu alinde watu wanae maana sasa hali ni mbaya
2026-11-07 07:15:32
2
kabongo_70
Nicholas Kabongo💫 :
Aiseeeee tulikofika ni pabayaa sanaaa Baba God come back
2026-11-07 05:44:16
3
kokusima.mageka
kokusima mageka :
God have mercy on us
2026-11-06 21:44:21
3
c_yaah2
—Big mama🐢 :
Tumechok ss
2026-11-07 00:09:34
2
lucky.dada59
lucky dada :
Yarabi tuhurumie peke etu hatuwez...
2026-11-07 10:31:19
1
abdidinyo0
abdi dinyo :
Allah atamsaidia na mtawezekana
2026-11-07 10:34:49
1
djmonatz1
Djmonatz 4 :
Hiii to much uhuru aliowacha Nyerere sio huuu arafu hili lamombasa
2026-11-07 11:08:25
1
To see more videos from user @kenkeepitdeep0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About