me nitamlaumu magufuli Hadi kesho asinge tuwekea huyu mama kuwa makamu matatizo yote yasingetokea
2026-11-07 01:52:37
235
Rashid Seif :
alipe roho zawatu kwanza waliokufa
2026-11-06 21:42:36
38
Clint_Al_Soul-001 :
Kuzaliwa Tanzania ni moja ya laana kwa sasa😭😭😭
2026-11-06 23:00:55
169
Miss Cate255 :
wangempa faini ya pesa tumchangie
2026-11-06 21:22:23
209
Sally's ladies point :
Mimi nakasirika kuzaliwa Tanzania,
2026-11-06 21:03:31
96
santakwazi :
ccm wapuuzi sana
2026-11-06 20:55:42
51
Hans Ernest :
Kes ziamliwe kwa uwaz haya mambo ya kusubili tuambiwe Na Mtu Na hujui yupo upande gan
2026-11-06 20:22:01
64
Hamisa Fresh Juice :
Daaah nimeumia sana aisee😢😢😢nimefikiria t angekua ni baba angu😢
2026-11-06 21:13:53
20
Osward💫 :
Tumeongezewa maumivu🇹🇿💔
Mitaa inalia,Wananchi tunaumia! ila YATALIPWA HAYA✊
Siku inakuja NEVER GET DOWN
#freedom #justice
2026-11-06 21:05:51
22
Gwanzuu store :
OSCAR[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 07:51:45
0
Cherish :
LAZMA AKAE JELA HATA HII WAMEMPA KIDOGO
2026-11-07 03:05:36
17
Vanny_dee..🦋😘 :
wamemfungaaa wakiwa na maana yao, washapiga hesabu zao akitoka na wao wamemalizaa kufanya mambo yaoo
2026-11-07 05:48:51
16
ABUU MAAHIR :
hatuwezi kumchangia mtu wakati ss tunanjaaa
2026-11-07 05:26:00
6
ARUSHA PHOTOSHOOT :
TANZANIA NDIO NCHI KITUKO DUNIANI
2026-11-06 22:36:18
19
Godfrey Mligo :
tz ni jehanamu kwa sasa
2026-11-06 20:26:32
18
dalusi boy :
Hivi kutuchambulia kitu tunacho kijua inatusaidia nini
2026-11-06 21:33:04
16
glimmy ♎ 24 :
yaani mahakama zetu zingekuwa live ingekua poa sana Alf raia tungepewa option ya kutoa hukumu na ss au unasemaje wadau
2026-11-06 20:33:38
28
Chris_moloko :
maagizo kutoka juu ili hiomiaka wapige pesa zetu wamalize nchi ndio atoke
2026-11-06 20:35:57
26
Techno :
Da nimejiskia vby sana Yan cjui familia ya huyu Mzee wanajiskiaje ila hii nchi dah😭😭
2026-11-07 04:28:39
7
Ahmed msambara :
sio ndg yangu Wala sio mwana siasa na Sina card ya chama chochote hapa ,tz ila kama binaadam kumtesa binaadam mwenzio Kwa madaraka Yako sio saw na IPO siku mungu ahukum
2026-11-06 20:34:59
9
@butikod~254 :
wasafi fm chambueni kuhusu mapenzi
2026-11-06 21:00:21
8
Aisha🥰🥰 :
mungu simama na uyuui baba Dunia tunapita tu
2026-11-06 20:11:19
13
kivikejr :
kwahapa tuu siwezi nikajivunia majaji nimeskitiswa na hayo lakini Huenda wakati wa Bwana bado haujafka
2026-11-06 20:32:57
7
NGINJANGIJA☠️🙊☠️ :
mungu amlinde lisu wetu
2026-11-06 20:31:21
7
Djigi Jay :
Nashinda kuelewa.......ahaaaa
2026-11-06 20:32:28
6
To see more videos from user @alphakizzy1, please go to the Tikwm
homepage.