kwangu naona kwa hadithi hizi...
atakae acha kitu kwa ajili ya Allah, basi Allah atampa kilicho bora kuliko kile alicho kiacha.
na
yule mwenye kuwaridhisha watu na kumkera Allah, basi Allah atamchukia na watu watamchukia. na atakae mridhisha Allah kabla ya watu. basi watu watampenda na Allah atampenda...
2026-11-07 03:51:10
12
ABUU TWALHA :
hiyo ndio manhaj salafi manhaj ya haqqi
2026-11-06 20:38:38
23
MJUMBE :
WATU WENGI HAWAFAHAMU SUNNA NI NINI WALLAH
2026-11-07 06:31:17
7
ummu Mukhtar :
watu wanashindwa kuelewa kama sunna ukifanya wapata thawab ukiacha hupat dhambi
2026-11-07 07:36:51
2
Eidriss☪️🇹🇿 :
kitu pekee naweza acha kazi ni Swallah tu hayo mengne sio Muhimu
2026-11-07 03:20:35
6
SIX 🎖️ :
Naomba nielekezwe.
Sheik walidi kasema kazi nii waajib
Ndevu nii Sunnah
Ipi ikikutana moja huachika kati ya waajbu na sunnah..?? Shukran
2026-11-07 02:12:57
3
mohwaamohwaa :
hio ya salaf ni uongo hata inavyo simuliwa
2026-11-07 06:02:29
1
Abuu Fawzaan Salafiyu :
1 kufuga ndevu wajibu 2 kwahiyo kazi ikiwa ndani yake kunakumuasi allah waruhusiwa kufanya kwa sababu ni wajibu
2026-11-07 15:23:47
0
Ausat mwangi :
Wote wapo sawa huyu ameangalia waajib mwingine akashkilia sunnah
2026-11-07 11:36:42
0
Ahm3d LaO :
Hapa sikubali sheikh walid namkubali lkn kwa hili sikubaliani nae
2026-11-07 10:03:33
0
Vampire :
naam shida iko wapi sawa sawa
2026-11-07 09:17:51
0
Majeed@Abdouly :
Usalafi bhnaa duh! Wawo wajiona wapo sahihi kila kona,sasa hapo sh,Walid amekosea wap
2026-11-07 07:24:00
0
Mohamed Awesu :
Asilimia Nyingi ya Mashekh Wetu wa Kisunna wanachukia sana maswala ya kaz za kuajiriwa kwsabb zao mbali mbali .. na ndio man hufikia huko …. Tusitumie hisia tuangalie na zama zetu zilivyo , Mtume Rehma na amani ziwe juu yake kipindi chao hakukua na kaz kam za saiv , na kwan kuajiriwa ni haraam?? Hapan , integemea na kazi .. huku kwetu kuna jeshi na askar ambao zntak unyoe ndevu , sio kosa kunyoa kw ajil y ww kuajiriwa ilhali hautavunja maagizo ya Allah na utakua unafny kw halali,,, sunna ngap kwan mashekh wetu wa kisunna hawafanyi,,,?? Mtume alikua apiga mswaki kila kipindi cha Sala , je , mashekh wetu wote hufuata iyo sunna ? Tuacheni kufuata hisia na kuchukia ajira..
2026-11-07 01:02:24
1
(Abu dharr )Twalha Adam :
hikma gani iko hapo
2026-11-07 08:24:49
0
bin h :
masalafi hawajatumia hikma
2026-11-07 05:38:55
2
Muhammad | محمد :
Kuna Sunnah ambazo Zenyew Ukifanya unapata ujira na Ukiacha hamna xhida yyte uhapi dhambi kama mfano wa kupiga mswak lakin kwny jambo la Ndevu Ni hakki kabisa haifai kunyoa Akhy co kwamba ni hisia ndugu yang
2026-11-06 22:06:21
1
Likichi Hussein :
kazi nilazima ila huyo alie enda katar laiti ange ambiwa hakuna ku swali ili apate kazi apo alikua sahihi ila sunah ukiacha hakuna zambi ukifuat unapata sawabu. kufanya kazi ni lazima ukiwa na akili timamu na afya njema nilazima ufanye kazi
2026-11-07 02:29:53
4
To see more videos from user @usalafinikwetu, please go to the Tikwm
homepage.