Nmeibiwa sana hotelini Kwangu kwa style hii 🤣🤣🤣🤣..
nazielewa style zote
2026-11-20 05:44:26
1
Ummu Haliim 🍇 :
Yaani ata ujitahidi vipi huwezi kutibu tabia hizo Mimi wasaidizi wa marehemu mama yangu niliwafanyia kila kitu hadi ktk familia zao ila bado wanaiba wanapeleka kwao
2026-11-29 03:11:57
0
Khadijath :
Pole Habbt eka camera 😁
2026-11-07 04:22:40
1
Vishar Matambo :
Umenikumbusha mbali sana Ndugu Yangu 😄😄😄
2026-11-07 07:02:42
1
Xfarm :
dada Zai weka camera maeneo yote itakusaidia
2026-11-07 02:40:45
1
Nassor Khalfan :
Daaah pole sana .
2026-11-11 18:33:27
1
maryan.xirsyy 🥀🖤 :
Allahuma Baarik 🤍🤩
2026-11-06 20:51:57
2
Raven_39 :
Wasamehe dada ila Low wages ndo chanzo
2026-11-07 05:34:55
1
Nauhat yussuph :
Me ni boss kweny kampun ya kuku naibiwa kuku kama siwap vil jman nachok na wafanyakz wezanguuu 😁😁😁😁
2026-11-07 07:40:40
1
Cali Dhuux :
Kwangu waneniipia spare aina ya starter ya scania 4pcs na kijana wa usafi ameweka ndanibya taka tumejua baada ya siku 6 baada pia tumeangalia cc camera Tzs 3,800,000
2026-11-13 20:32:32
1
BIG Truck Driver :
Rule Number One Never trust anyone
2026-11-08 04:38:16
1
Dogo money :
ndo binadamu walivyo boss
2026-11-28 10:38:15
0
Ina Isman Qofal :
Ocean hotel ya Mumim, Allah amurehemu?
2026-11-23 07:27:52
0
willing.ton :
LOW WAGESSSS
2026-11-07 09:18:45
1
alya czar :
Itakuwa unawalipa pesa ndogo ndomaana wanakuibia
2026-11-07 03:08:42
1
ayan_cakes_and_bites :
usiwahi amini wafanyakazi. hawana imani hata akiwa mzuri atabadilika
2026-11-07 06:24:46
1
Uswahili.kupendeza.pishi Pambe :
Uaminifu sio kila mja kajaaliwa na kuhus hiz zama ni hatar haswa
2026-11-07 05:47:43
1
Queen of southwest :
Hawawezi kuacha uizi sijui ni nn nashindwaga kujua mm kuna mmoja anaimakiza wlh na ni mkavu balaa😂😂😂 kumbe sio peke yangu ninayo pata shida
2026-11-13 03:12:53
0
Mo :
Nilifanya kazi ya hoteli kwa muda mrefu tena miaka ya zamani ilikuwa wizi kuliko sshivi. Ninayo solution ya baadhi ya wizi kama huo 😊
2026-11-22 07:19:34
0
Hamdi Gabobe :
🥰🥰😂😂😂🤣🤣🤣
2026-11-07 06:06:35
1
a lady255 :
[Tears of joy]
2026-11-06 21:39:30
1
Khadhijah002 :
😂😂😂
2026-11-07 04:54:38
1
To see more videos from user @allafricancafe, please go to the Tikwm
homepage.