@tatu.kapiga6tz: Karibu tatu cash point. Wateja na mawakala wenye laini za lipa njoo utoe bule hakuna makato🤝. Mawakala frot na keshi inapatikana karibuni 🤝🙏❤️bila nyinyi mi si chochote

TATU-CUTE🕊️🌹
TATU-CUTE🕊️🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 21:21:01 GMT
23527
959
64
83

Music

Download

Comments

momskylar0
user61511763770856 :
yani mtu anatoa laki 2 napata mia 5 afu lipa napata 2000 nikatae lipa nakichaa unaonea nini sijui
2026-11-07 07:24:03
26
edithafrank3
edithafrank18 :
mm natunza pesa ya lipa kwa mwezi kibunda kinene kuliko hata hizo Kamisheni. mm jmn naipenda lipa sana
2026-11-07 07:29:53
25
madicotheboy6
Madicotheboy :
Usitupangie chakufanya yn nmb mteja Unamuekea 600k camisheni 600[Tears of joy]sasa bora watumie lipa hao mawakala
2026-11-07 00:54:06
8
phones247
phinaa❤❤❤ :
Watu watakula mitaji msinichambe jaman😅😅😅😅😅 Kuna muda lipa inatubeba Sana hata mfanyakaz unaweza jikuta unamlipa kupitia lipa
2026-11-18 15:14:59
1
spice_leah
@spice Elegant🔥 :
Ujalala wakala mwenzangu🥹
2026-11-06 21:42:16
5
user6061226854032
Theresia Mpinga :
kama hatunzi ela ya lipa bc ajielewiiii ,,cwez kuacha lipa 🤗🤗
2026-11-09 16:21:26
2
cheupe04
CHEUPE :
Mimi nimeacha kabisa huduma za lipa na sitaki mtu wa lipa atoe pesa kwangu
2026-11-07 06:28:42
1
pungu69
Pungu69 :
me usinishaul kuhusu ilo
2026-11-07 08:50:46
1
user7121328257781
ALHAJI :
yap MAWAKALA WENGI hawana mitaji
2026-11-07 05:52:00
1
user61040442614707
user61040442614707 :
yan lipa ina faida sana
2026-11-10 09:35:48
1
misssecilia3
seciliadencha :
bora nitoe kwa lipa bhana tuna pesa ya lipa utafurah8
2026-11-17 12:26:13
1
betty.silayo
bety🌹 :
nitatoa Kwa lipa mpak mwisho wa dunia[Tears of joy]
2026-11-07 10:06:16
4
princess.nilmah
Princess Nilmah 💞 :
mm na lipa dam dam
2026-11-16 20:32:23
1
fredykalisa
fredykalisa :
wakifunga lipa hii huduma naacha kabsa🤣🤣
2026-11-08 17:05:29
5
miki.crazy
MICK :
sasa si apige hesabu lipa kuingiza beigani
2026-11-13 08:25:13
1
stamphord2
Justin stamphord :
lipa inahela nying ila nicash yapapo kwa hapo
2026-11-16 12:31:35
1
juliana.kalinga5
Juliana Kalinga :
mbona hatulalamiki jamani na kamishen ni nzur tu mwaya
2026-11-07 05:16:23
3
allanrwakilomba
Allan Rwakilomba :
walimu wamekua wengi ...😅😅
2026-11-07 17:06:24
2
riziwanikinyanyir
Riziwani Kinyanyile :
kwel kabisa
2026-11-09 07:09:33
1
yusuphloule93
Yusuph :
[Fire]ofc
2026-11-07 10:16:21
1
officialmacha
🇹🇿MR.MACHA💰🇹🇿🚛 :
mm ikifika 500 lipa sitoi Bora uende tu
2026-11-07 09:40:02
2
merry_27.0
Merry💞 :
wakina nan wanalalamika tena
2026-11-07 07:22:29
2
jeyzzy.funny
Mr Champion💰💵 :
sawaa boss ngoja tutafute ela
2026-11-07 09:30:21
1
To see more videos from user @tatu.kapiga6tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About