@molionlinetv: Dudu Baya (Mamba 24) ameyasema hayo asubuhi ya leo kuamkia siku ya show kubwa ya Miaka 30 ya Bongo Fleva inayofanyika jijini Mbeya (Green City) — huku akiacha maswali mengi baada ya kutokutoa sababu yoyote! 😱💥 📋... Wewe unamaoni gani hapa kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva? Ni kiki ama maslahi yamegoma? Dondosha comment yako! 👇 #molionlinetv #miaka30yabongoflevambeya #tanzania #dudubaya #mambaz24
Moli Online Tv
Region: GB
Saturday 07 November 2026 03:37:24 GMT
Music
Download
Comments
Zig dula :
itabd ni cancel kutok znzbar mbeya si kudogo tiket asant kw kutujuza mapema dudu zuri
2026-11-07 08:05:24
1
🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
nlijuwa tuh
2026-11-07 07:39:08
1
@FreeMan :
Bas wanirudishie hela yangu🤣🤣
2026-11-07 05:07:09
2
DOGO CHUI TZ🔥 :
MBON JAN NIME MONAAA
2026-11-07 07:19:13
0
PETRA 22 :
bora sikukata tiket mapema kama ndo ivyo siji😂😂
2026-11-07 08:03:21
0
Samwel Emanuel :
bila ww sho hakuna
2026-11-07 06:27:59
0
Ibrahim Samson Magig :
Sasa Kwanini tena
2026-11-07 06:29:45
0
SINYORITA BRAND :
😂😂😂😂jamani
2026-11-07 05:48:43
0
bujikusdaughter :
sasa itakuwaje bana
2026-11-07 06:17:42
0
JESHI LA MTU MMOJA 🇹🇿👊 :
kwanini
2026-11-07 03:53:46
0
Nasibu Mirani :
siji tena bola niende tunduma😂
2026-11-07 06:08:40
4
Bravo the Dj⛎ :
K vant zitakuua Bro😂😂
2026-11-07 05:24:14
0
neemainocent :
Weee unakichaaa yaan ss tumekuja kwaajili yakoo
2026-11-07 05:53:32
3
ChumiaTumbo :
shidaa ni keupe ngoja ulale ukiamkaa ni show show on the stage YBWYB 😅🤣🤣
2026-11-07 06:54:10
1
CURATY❤️ :
Konkyyyy
2026-11-07 07:31:51
0
Di'Maliki Mgoba :
kalewa huyoo
2026-11-07 06:54:10
0
Maneflex collection :
Nan kamkwaza jmn😂😂😂
2026-11-07 07:38:35
0
babanajma :
keupe 🤣
2026-11-07 05:54:48
0
elika Vanchris 🦋⚘️🔐💃 :
😅😅😅😅uyu wasimpe pombe mwe😅😅😅
2026-11-07 05:55:27
0
Juliet Omega :
@martinrobert281 wamemfanya nn tena[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-07 06:17:09
0
@FreeMan :
🤣🤣🤣
2026-11-07 05:06:11
0
user7956133518359 :
😅😅😅😂
2026-11-07 08:09:47
0
wali nyani :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-07 06:51:36
0
To see more videos from user @molionlinetv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.