@shafiionlinetv8: UST SHAFII TANZANIA IMEKUWA SHAMBA LA BIBI

Ustadh Shafii Online Tv
Ustadh Shafii Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 04:50:41 GMT
66012
3146
236
132

Music

Download

Comments

kikomarz
kikomarz :
huwez kuongea vitu kuntu namna hii nisikupongeze mufti .ila inasikitisha mno wapigaji ni wengi sana na ndio wanaipoteza hii nchi na masikini kuzidi kuwa wengi wanaopata nafas ya kuongoza wana roho mbaya sana na huruma hawana
2026-11-07 11:17:48
65
davidedward785
DAVID EDWARD :
sijawahi kumpinga sheikh shafii,mimi mkristo ila sheikh Yuko smart sana, Assalamu alaikum
2026-11-07 19:54:19
5
mselem53
NG'AMBO LUMEMO OG :
Shekhe wangu ulienyooka Mungu akupe umri mrefu
2026-11-07 06:17:08
68
mudikimwaga
Mudi Kimwaga :
mufti wangu Mimi ndiyo huyu yule zuberi mufti wa Tanga 🤭🤝🥹🇹🇿
2026-11-07 19:29:13
11
user9595007533090
BEA SIMBA :
in god we trust 💯🙏 one love shehe
2026-11-08 09:57:02
0
said.idd67
Said Idd :
Ndo maana namuelewa lisu sheria za tz mbovu sana katiba mpya inahitajika
2026-11-07 10:53:26
16
johnluhende5
Ngosha Family💪 :
kwakweli Tanzania tunauhaba wa viongozi wenye uzalendo na Mali za taifa
2026-11-07 16:45:03
9
jbofficialhaule
[email protected] :
Kuna sehemu mpaka hii leo hakuna lami inasikitisha sana yani hii nchi
2026-11-07 16:40:21
8
user8531929887702
user8531929887702 :
Sheikh we leo umeongea hii nchi sio masikini magufuri kajenga mji wa kiserikali kwa miaka mitano kama ulaya ila sasa tumekwisha ile speed tuitafute ili tupate viongozi wenye uchungu nayo
2026-11-07 18:53:08
1
vibe.scott
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
kumbuka ukweli aupendwi shekh
2026-11-07 21:41:43
3
adam.musa8877
ADAM MUSA :
inauma. shee
2026-11-07 09:53:25
6
juma.chogogwe0
Juma chogogwe :
shehe mungu akupe umli mlefu wenye manufaa Ili uweze kuwakumbusha kama hinyo viongozi niwachache san masheh wenyekuongea ukweli Kam ww
2026-11-07 11:38:25
6
pendodenis156
Pendo Denis🥰 :
hakika umeongeya ukweli
2026-11-07 09:23:33
6
tryphonefriday
Tryphone Friday793 :
inaaumiza sana kwakweli viongozi hawana huruma kabisa na wananchi leo kuna mahali fulani nimepita uku mtwara familia zinashindia maembe hawana chakula nimejikuta nalia 😭😭
2026-11-07 15:31:40
5
mussajkapona
mussajkapona :
daa huyu ndo sheh sasa sio wale masheh wa bahasha
2026-11-07 21:31:23
2
deodatusngozi
Deodatus :
asante sana
2026-11-07 19:23:17
1
hassanimsangi770
Hassani Msangi :
hatuwa hagui sisi tunalaewa hawawezi kututetea
2026-11-08 03:29:19
0
user65081226124617
micky :
upo sahiiiiii
2026-11-08 04:27:45
0
shaibucakebox
shaibucakebox :
mbona umeka namba ila kama sio yako
2026-11-07 13:33:11
4
user81021270936172
General :
🥰💪🥰 shaikh shafi 🥰🥰🥰
2026-11-07 19:20:04
1
ramadhankhalifa13
Ramadhan Khalifa :
wewe ndy shekhe mkweli na mpendwa hapa nchini sio kama wengine wanafiki mungu akujalie mjomba
2026-11-07 17:55:49
3
nasiburyan2
Ryancpflat :
shekh inshallah mungu akijaaria tutakutana inshallah
2026-11-07 18:42:50
1
fadhira.abdalla
fadhira abdalla :
mwenyezi mungu akupe umri mlefu
2026-11-07 13:00:30
2
star64gmail.com
star64gmail.com :
mm n mkristo ila shekhe shafy nakukubali sana Mungu aendelee kukupa umri mlefu🙏
2026-11-08 05:24:00
1
user8155370672335
Mchela04 :
Sheikh mwenye akili
2026-11-07 18:38:16
1
To see more videos from user @shafiionlinetv8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About