@dicksonkazola03: #creatorsearchinsights #bestvideostoposttogoviral Simulizi ya inadai kuwa mwanaume mmoja nch8ni Ivory Coast alitumia miaka 14 akilipa kodi ya nyumba, bila kufahamu kwamba mwenye nyumba aliyokuwa akiishi alikuwa mke wake mwenyewe. Mwanaume huyo amelia kwa uchungu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye aliyekuwa akimiliki nyumba hiyo katika kipindi chote walichoishi pamoja. 😳 Je, wewe ungefanya nini kama ungegundua kuwa umekuwa ukimlipa kodi mke wako kwa miaka 14 bila kujua? Cc @didas_tv #fypシ❤️💞❤️ #headlinenews #content
Mc Wa CHUO 🎙️🎤🎧
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 04:53:33 GMT
Music
Download
Comments
sophy :
hatimae tumeanza kuhuzuria vikao vyetu na sisi wanawake oyeeeeh
2026-11-07 06:50:31
35
Mama BOY and DAUGHTERS 🙏❤️🦋 :
Huyu mwanamke kwann amechukua mawazo yangu 😂😂😂 safi sana
2026-11-07 06:43:39
34
Halima Salimramadhan :
uwiiii[Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]nimecheka mpaka nimepaliwa
2026-11-07 07:05:04
0
Janelle :
nyumba yangu utakaaje bure😅😅😅😅
2026-11-07 06:47:03
7
𝓜𝓻𝓼🍎𝓙𝓕 :
😂😂😂😂😂😂😂mtajua wenyewe bhana me nimecheka
2026-11-07 06:43:31
12
mmbuji :
iyo nimeipenda huyo mwanamke saluti
2026-11-07 06:33:50
38
priscar♥️🌹 :
oyeeeeeee wanawakee
2026-11-07 07:02:21
0
mwanaid msigeze :
sasa kinamliza nini[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 06:37:00
3
Mrs to be❤️ :
Asa analia nini nyumba ni yake
2026-11-07 06:45:06
2
asnathaboubakary :
clock it
2026-11-07 07:00:48
0
sophia richard :
mbona bd watalia wengi
2026-11-07 06:51:35
1
P :
kinachomliza!? si ajenge
2026-11-07 06:48:58
3
user4971175070058 :
kwani shida iko wapi alichangia garama za ujenzi sasa na yeye ni mwenye nyumba halali
2026-11-07 07:01:16
2
CAPTAIN YU MOTOR'S :
kuna baadhi hamuelew jamaa kwann analia
2026-11-07 06:52:19
1
rey :
Safi sana
2026-11-07 06:23:32
2
Jackie Massawe :
Sasa linalia nini
2026-11-07 06:52:16
0
Aeshqi❤️🔥🤍 :
Nimejikuta nachek kwa saut wallah😂😂
2026-11-07 06:56:01
1
Nasraomary :
Ndo mnavotaka Sa saw
2026-11-07 06:52:19
0
Fausta Amedeus :
Ni vizur Kwani yake
2026-11-07 06:31:58
10
never give up :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-11-07 06:39:50
1
mamishhd1 :
🤣🤣🤣🤣
2026-11-07 07:06:40
0
user3491670302866 :
😂😂😂nacheka huku nawaza. kwani shida nini
2026-11-07 07:07:26
0
Neema Tungalaza :
hapost kuna miujizauku
2026-11-07 07:07:03
0
Big Manyota :
kwanza mimi siwezi kupanga kwenye nyumba atakayonishauri aua anayotaka mke wangu , nitapanga nyumba ninayotaka mimi
2026-11-07 07:07:13
0
Detta❤️ :
wooow
2026-11-07 07:07:00
0
To see more videos from user @dicksonkazola03, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.