Juzi nilitoka kuongea na mtu maneno haya wakaniambia nimeathirika akili 😂😂😂😂😂
2026-11-07 08:56:04
41
chiefgodlovetycoon :
Msiwapeleke boarding school
2026-11-07 11:50:04
0
Its didi 🖤 :
Kila mtu akae kwake na tabia zake
2026-11-07 09:52:06
17
Briana :
Kwanza staki mtu kwangu awe dada kaka stakiii
2026-11-07 09:14:42
10
Chicnatty🇹🇿 :
1. sitaki ndugu alale nyumbani kwang zaidi ya wiki Moja 2. Vyumba vya watoto hatolala mgeni yyte kama vyumba vya wageni vimejaa wataenda lodge nitalipa
2026-11-07 09:55:59
7
briannah :
kwakweli kwa sasa ndugu watanilaum San sitaki wageni kwangu kila mtu akae kwake atulize tukutane harusi au misibani basi
2026-11-07 08:05:52
12
Joyce l kisha :
mm sina ham
2026-11-07 11:55:10
0
allway_always :
mtoto wangu na mjomba wake wamepishana mwaka mmoja....😂😂😂😂
2026-11-07 10:44:05
1
sandrah :
amezungunza kweli kabisa
2026-11-07 11:02:42
2
Mayra :
❤️❤️❤️❤️Ubarikiwe mama angu ❤️❤️🥰
2026-11-07 07:20:38
21
Light Msigwa :
kila mtu awe na chumba chake
2026-11-07 07:54:05
4
JephcakesTz :
bado watu watalaumu serikali...
2026-11-07 10:08:39
3
NancyNargis🇹🇿🇿🇦🇨🇳 :
Umeongea vyema mama, mambo yakupeleka watoto likizo kwa ndugu nayo yaishe maisha tuliyokulia ss yameshapita . Watoto wasasa wapo kwenye ulimwengu wengine kabisa .
2026-11-07 08:56:59
7
@zawad81 :
siyo ndugu tuu hata majirani na siyo majirani tuu hata walikuwa kwenye ndoa wanaume awaaminiki
2026-11-07 11:22:48
0
Vannah sweet cakes usagara mza :
vp shule za bweniii dah
2026-11-07 09:03:14
0
Veronica Mweta :
hio ni kweli kabisaaaaaa
2026-11-07 05:28:44
8
mwamba boy :
kweli mama kwa leo umeniflaish xan
2026-11-07 07:09:43
5
erren_ken :
kuna na shule za bweni na mtaani pia
2026-11-07 11:46:55
1
Nechivera Thomas Mmasi :
sitaki mtu yoyote kwangu kira mtu Akae kwake bwana
2026-11-07 10:22:48
2
Binti stara 🧕🌹💐 :
hata wa kike wanafundisha usagaji
2026-11-07 07:37:50
0
swaum hemed :
umeongea kweli mama
2026-11-07 10:56:14
1
Aidanist :
Kiufupi Marufuku kuamini watu baki.😅
2026-11-07 11:00:24
1
To see more videos from user @atukuzwe.mwakalong, please go to the Tikwm
homepage.