@tarxhy: Mwanaume mmoja nchini Ivory Coast alitumia miaka 14 akilipa kodi ya nyumba, bila kufahamu kwamba mwenye nyumba aliyokuwa akiishi alikuwa mke wake mwenyewe. Mwanaume huyo amelia kwa uchungu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye aliyekuwa akimiliki nyumba hiyo katika kipindi chote walichoishi pamoja. Mwansume pia amedai kuwa amekuwa akipambana sana kulea familia hiyo huku akisema kipindi ambacho amechelewa kupata pesa ya kulipa kodi mkewe alikuwa akimshauri kimahaba kuwa ataenda kukopa kwao ila hiyo pesa akipata atampa awarudishie. Mwanaume huyo mwenye familia ya watoto watano ame huzunisha wengi mtandaoni huku watu wengi wakiomba mamlaka za ivory coast itafute namna ya kumsaidia Je, wewe ungefanya nini kama ungegundua kuwa umekuwa ukimlipa kodi mke wako kwa miaka 14 bila kujua?
thank God amekuambia after 14 Years sasa angewacha ulipe for 20 yrs kudos mama 🥰🥰
2026-11-08 02:49:08
0
Bella love ❤️ 💝💝 :
sasa? no free house!!
2026-11-08 03:54:13
1
KHAMONA :
kweli nalipa kodi nyumba yetu
2026-11-07 12:16:30
11
lovenessnf05 :
Kinachomliza n nn c ajenge kwake
2026-11-07 07:05:13
113
precious💕 :
Sjui hata kajuaj yan mi nimekasirika 😏😏
2026-11-07 07:40:02
38
DA WARDA 💕 :
hata wangu atalipa na hato kaa akajuwa do plan zangu tuseme ishaallah 🤲👍
2026-11-07 09:32:13
46
leonard @@@ :
pole san
2026-11-07 13:31:23
0
Hamza Hussein :
Ata bibilia imeandka tuishi nao kwa akili
2026-11-07 08:25:51
20
Mom Van🥷🥰 :
Huyo mama naomba awe mwenyekit wetu😂😂
2026-11-07 08:17:15
24
ummy khalila :
shida iko wp wakati sio ya kwake ni yamke
2026-11-07 07:09:41
47
Shaki wigs :
mbona kama hakuna tatizo apo kama kujenga lahis si ajenge na yy
2026-11-07 08:02:24
13
amayna55 :
Tena hiyo kodi atoe kwa wakati kabisa
2026-11-07 07:29:45
12
Cherryloppy :
sasa analilia vitu vya watu
2026-11-07 08:14:18
7
I-B-R-A-A-H🇹🇿 :
Nisawa kulipa ila kwa upande mwingine sosawa miaka yote iyo wangesha fanya vitu vingine vikubwa zaidi tatizo wanawake zetu wanaamini vitu vyetu nivyakwao ila vyao nivyakwao ndosababu watu wengi huishia kwenye ufukara mpaka wanakufa wewe fikiria baba yako miaka 14 anajua amepanga badae ndoanajua ivo itamuuma kiasi gani wewe pia unajua nyie mmepanga ndounasikia kama ivo😢
2026-11-07 07:56:38
11
🦋BUTTERFLY -GLOW🦋✨ :
Kwahyo alitak asilipe kody amejengaa yy au ni nyumba ya familia yakee safiiii sanaa
2026-11-07 08:15:50
9
Lynda :
Eee alipe
2026-11-07 06:57:26
5
Neema Tungalaza :
saf san mm napambn na malejesh yy Ana pamban na watt2000
2026-11-07 07:45:32
6
21millah :
Kwan kun ubay gani jmn
2026-11-07 06:51:05
5
winfrend murungi :
Sasa apo Kuna shida gani
2026-11-08 08:36:37
1
Tiffah Mapochi store :
Ndicho kitakachomkuta Mme wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-07 16:40:33
0
cute D🥰😘 :
aki sisi wanawake.. kuna beste yangu mwanaume anatauma pesa ya mtoto na alitoa mimba tangu 2023🤣🤣🤣🤣🤣😂
2026-11-07 12:15:19
4
To see more videos from user @tarxhy, please go to the Tikwm
homepage.