@gervas_rwegoshora: ADHABU YA VIBOKO MASHULENI UNAKUTANA NA CHANGAMOTO KAMA HII (KAZINI KWA MWALIMU KUNAKAZI) Mtoto si wa kuogopeshwa ili ajifunze, bali wa kuelekezwa ili aelewe. . . . . . #mwalimu #kenyantiktok🇰🇪 #sheria #tanzaniantiktok🇹🇿 #shule
Gervaskaka_g
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 05:45:36 GMT
Music
Download
Comments
Ramadhan Abraham :
Kazi ipo sekondari
2026-11-08 04:56:44
9
Thespy :
Inaweza kuwa Content lakini haya yanaenda kutokea
2026-11-07 12:07:36
30
Mr Sule :
Very good act
2026-11-08 10:48:55
2
@kareem :
hii sheria ametunga last born
2026-11-08 10:41:51
1
Humble :
Nawaonea huruma walimu wa sekondari tu
2026-11-08 11:55:52
1
MR. FIRST'BORN :
mshahara kidogo na bado ugumu wa kazi unaongezeka daaah ualimu n wito
2026-11-07 21:18:43
4
Anny💕💌 :
Cha muhimu mwalim subiri mshahara wako hao watoto wakajuane na wazazi wao
2026-11-08 12:37:42
1
Daudi Mgaya :
sasa kama wamekataza bakora vp kuhusu makofi maana hawaliongelea ko makofi ni ruksa
2026-11-07 18:46:34
8
mr noone🤔🤔🙄🙄 :
walimu kazi wanayo saiv 🤣🤣🤣🤣
2026-11-08 09:59:10
1
Ricky🦋 :
wazazi nao hawaruhusiwi kuchapa watoto wao au wao walichapa si kukiuka haki za binadamu
2026-11-08 11:29:31
1
user1624154330206 :
daaaa Mungu anajua shida itakayotokea mbeleni huko
2026-11-07 19:06:38
3
Raja Raja :
serikali haina akili kwa hili
2026-11-08 12:51:25
4
BARAKA MKATOLIKI :
Tunapo elekea walimu watakuwa wanawanunia wanafunzi!!
2026-11-07 11:31:44
3
Alhikma bin Nassor :
Walimu wala hamujawakera mazali mishahara inasoma, wao hizo sio shida zao
2026-11-08 11:43:12
1
Saidi Zubery Nkya :
Kivumbi Leo
2026-11-08 12:51:37
1
Eliya mchelu :
ila hii shida kweli inakuja na hizi content ndo zitawafanya wazidi kuwa jeuri
2026-11-07 21:20:17
2
malkia💫 :
kweli waalimu nawahurumia sana kuhusu hawa watoto
2026-11-08 10:10:10
0
Nerdrey :
daw n ndog bas jukum hil wapew wazaz mtoto akizingua ita mzaz nd amiadhib mwanae
2026-11-08 12:47:42
1
Anny💕💌 :
na ndivyo itakavokuwa
2026-11-08 12:36:11
1
Mamu classic :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]tumekatazwa achaa
2026-11-08 03:24:19
2
Sir_Francis :
kazi tunayo aisee🤣🤣🤣
2026-11-08 02:32:31
2
zayven😎 :
yaani mnabahati maana 2027 kusingekalik katk wiki shule sik 2 zengin nashind home2 na hamnifany ki2
2026-11-08 08:28:36
1
chene@231 :
me nyumbani fimbo kama Kawa
2026-11-07 22:38:28
3
Wonders Gel💫 :
Bora nilikata kusome ualimu yange nikuta
2026-11-07 18:18:43
3
Kareem Yassin :
adhabu ya viboko irudishe🤣🤣🤣
2026-11-07 06:11:42
3
To see more videos from user @gervas_rwegoshora, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.