@mc_manyama1: Kutoka kuchunga mifugo katika kijiji cha Nyanguge, Mwanza, hadi kujenga jina katika ulimwengu wa teknolojia na hatimaye kusimama madhabahuni na binti wa Rais wa Kenya. 🇹🇿🇰🇪 @issayayunge Safari ya @issayayunge ni simulizi ya changamoto, uthubutu, ndoto na mafanikio. Lakini nyuma ya jina linalotajwa leo, kuna historia ya maisha ambayo wengi hawaifahamu. ⚠️ DISCLAIMER:Maudhui haya hayalengi kumdhalilisha, kumkashifu au kuathiri heshima yake kwa namna yoyote, bali kutoa simulizi yenye mafunzo na hamasa kwa jamii. #FAMEORA #IsayaYunge #CharleneRuto #viral #reels__tiktok

mc_manyama
mc_manyama
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 06:07:52 GMT
34797
1941
28
46

Music

Download

Comments

mamjasmine0
jasmine❤️❤️❤️ :
mi namuangaria tu bib arus
2026-11-07 09:23:17
1
paulina1233579
mamajordan123 :
sio nyaunge ninyanguge
2026-11-07 09:33:03
0
user4880638211115
Teddy :
rasmi tumekua familia moja na kenya
2026-11-07 09:09:18
2
teddyshauritanga9
tms :
hakika tumeweza kukishika kiuno cha Kenya😂😂
2026-11-07 10:32:40
0
luciaemmanuel602
Lucia Emmanuel :
mungu atupu mja wake
2026-11-07 08:55:02
0
ellytiffah
Elly 💥tiffah💫 :
yangu itakuwa kali kushinda hii
2026-11-07 11:32:24
0
maryline.ajwang
Maryline Ajwang :
Nashukuru mungu sasa Tanzania Ba kenya ni muwili moja upende usipende
2026-11-07 11:03:39
0
rosemaryrichard142
Rosemary Richard :
mmh
2026-11-07 07:59:02
1
rose.amos3
Rose Amos :
wao
2026-11-07 11:16:50
0
ummilove6
ummilove6 :
nice
2026-11-07 09:20:53
0
nenahchrzy
nenah chrzy :
acha bac
2026-11-07 08:10:12
0
jenifa.labiso
JENIFA LABISO :
❤️❤️❤️
2026-11-07 06:15:41
0
baby.girl.girl22
Baby girl girl 💕 💗 💖 :
💓💓💓
2026-11-07 09:54:54
0
kishosha52
latifa :
🫶🥰🥰🥰
2026-11-07 09:57:14
0
musa.hack1
Musa Hack :
😁😁😁
2026-11-07 06:13:06
1
To see more videos from user @mc_manyama1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About