@ali_wisdom: Niende wapi na moyo huu uliolemewa na huzuni, na kelele za mawazo zinazokosa kunipa amani? Niende wapi na maneno mengi yaliyokwama kooni, ambayo sijui nimwambie nani? Natafuta mahali pa kupumzisha nafsi yangu, lakini kila upande unaonekana kufungwa. Inafika wakati unahisi hata dunia hii yote imekuwa ndogo mno kuubeba uzito ulio ndani ya moyo wako. 🥀 #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 06:10:07 GMT
33459
1960
44
124

Music

Download

Comments

nailay712
nailay :
Nenda kwa Allah sw hakika ndio mahali salama
2026-11-07 06:31:43
16
user0652245851
Stella mbaigwa :
daaah mwenzenu sijui nina changamoto gani nikienda kufanya kazi sidumu naaanza kuwaza kurudi nyumbani TU bila sababu
2026-11-16 05:27:12
0
arfh0793
*أرفه* :
kwa maneno yako yote uliyonayo moyoni mkimbilie allah pekee ndie mjuzi wa kila kitu kilichomo moyoni mwako na akilini mwako sababu umeletwa na allah na utarejeshwa kwake na matendo yako sote niwapita njia ila tuombe allah tujalie waislam wote mwisho mwema
2026-11-07 14:01:27
8
vailet1000
Vailet :
mweyezi mungu niponye majeraha haya moyo umeshoka nipe ata mtu wa kuongeanae🥺😭
2026-11-07 10:47:27
3
fatbeb
fatbeb :
🥹🥹🥹🥹
2026-11-08 03:30:54
1
shamyaley
shamy🦋 :
Allah anatosha sn ila subra na kukubaliana na ukweli ndo ngumu
2026-11-07 12:10:38
2
user3563557916663
user3563557916663 :
mshitakie ALLAH atakufanyia wepesi
2026-11-18 04:55:22
0
khadija_barafaa
khadija saeed :
nilipitia mengi subhanallah nikavumuliana Allah akanionesha njia salama alhamdulillah 😭😭😭na ww mlekee mola wako kwa dhati
2026-11-11 19:41:08
1
maryamshety6
.... :
mbona nimelia sana nimechoka na maumivu ninayopitia natamani nipate mtu nimuelezee nilie kwa sauti naomba mola anipe nguvu ila mbona😭😭😭
2026-11-17 09:12:34
0
ashrey_alley
Mommy ♥️ Reyhan :
Allah we ndo unaejua ya moyoni mwangu🥺 nipe subra ya Rabbi
2026-11-11 04:57:08
1
mamyida0
Mamy IDA :
umenifanya nilie sana
2026-11-07 13:38:40
1
smayl_de_truth01
Smayl_de_truth01 :
Tunaishi nao tunapendana nao ila bado wao ndo maadui zetu wakubwa 😏
2026-11-07 12:11:31
2
khuruthumu.yusuph
mom Maheer 🥰 :
ya aalh angalia moyowangu 😭😭😭😭
2026-11-07 08:23:59
0
cleanersoap_45
mwana clean soap :
Allah niponyee kila ninapoona maumivu 😭😭😭😭😭
2026-11-15 22:06:22
0
naysoud21
Naa :
mhhh[Pray]
2026-11-15 11:38:24
0
user18619709757975
user18619709757975 :
ya Allah moyo wang umechoka 😭
2026-11-13 17:48:29
0
nuru.mkumba3
Nuru Mkumba :
Mungu hawez kufunga mlango mlilie kwa dhati hakika hujibu kwa haki
2026-11-07 13:06:48
0
mevlan_tz911
Mevlan_tz :
2026-11-16 19:35:54
0
rajaxmicah254
Rajaxmicah254 :
everything you must trust in God pia cjafanikiwa ila nk m Imani one-day
2026-11-09 15:11:48
0
official_aziza550
Aziza michael :
🥺😭mungu anatosh now Nina amani Allhamdulillah
2026-11-13 17:43:54
0
hummy7911
@hummy7911 🥰🥰 :
2026-11-15 11:19:26
0
user3927545328605
P...W..A..K..E..D❤❤❤❤❤❤ :
dah😭😭
2026-11-12 18:29:29
0
dachiku10
Rehema Mujib :
Allahu ndie kimbilio wakati wlkama huu
2026-11-12 08:20:43
0
sweet.laty
sweet laty :
💔
2026-11-11 00:51:27
0
vailetm283
strong girl💪❤️ :
me nauliza tena hivi dunia nini maana sielewi 😭😭
2026-11-07 13:23:00
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About