Ety nitaongea nae nn 😏 Nitamuuliza mpenzii wetu yuko wap?😂
2026-11-07 09:00:34
120
💖ukhty💝zuuh✨collection ♥️ :
😂😅 don't tell me that 🥹
2026-11-08 07:20:01
1
🍒𝐈𝐭'𝐬_سعيدة🎀 ♡♡ :
nitasem nilikuwa nawasalimia jmn 😅😅😅 ila hali yangu itakuwa kam hii stika😄
2026-11-08 06:11:24
14
edwardelianai :
this happen yesterday 🥹
2026-11-08 12:48:34
0
G..🤎🤎🤎 :
nitachekaaa mweee[Tears of joy]
2026-11-08 08:01:27
0
RSun :
hi mate
2026-11-08 09:05:29
0
Efootball-luno 🎮 :
mpenzi wetu hajambo
2026-11-08 12:09:35
0
shanejo@7195 :
hiyoo jana hiyoo 😂😂😂😂 alafu leo naiona post hii kweli dunia ndogo kuna watu wanajua maisha ya watu 😅😅😅😅😭😭
2026-11-08 07:04:50
8
Warditah :
Tutacheza iyo nyimbo kwa background..
2026-11-07 11:36:05
0
Miss.jackie❤️🍂 :
Mie nae vile sina akili atajuta😂😏
2026-11-07 08:03:09
12
Miss Appronia👸🌹 :
Nikose cha kuongea me marehemu kwan 😂😂
2026-11-08 09:18:53
1
Zuustylish🧚🏼♂️♎️ :
Nitamwambia nashida na ba mpenzi wetu kuna maagizo nampa alafu muendelee
2026-11-07 15:00:21
15
eagle_boy25 :
m alipokea nikasema nilikuwa nataka kuuliza ile simu yake alotaka kuiuza bado anauza maana aliniambia anauza,akajibu ko ndio umpigie saa nane usiku nikakata simu,iliniuma sana coz uyo demu nilikuwa naishi nae,siku iyo nikashangaa hajarudi mpaka hiyo mida ikabidi nimpigie ndio ikawa ivo,kesho yake akanitumia sms unaninionea wivu na hunihudumii😂😂 ukweli nilikuwa namhudumia kwa kile nilichobarikiwa lakini alikuwa akihudumiwa na waliojipata ko cha kwangu hakukiona
2026-11-07 17:00:03
11
DA ROSE OUTFIT :
Mpe simu mume wetu 🙌
2026-11-07 16:25:42
6
🌸Chichi👻 :
Namkumbushe kumeza dawa HIV me mwema
2026-11-07 12:23:18
6
ramia tz :
Kuna siku utampigia simu mpenzi wako atapokea mpenzi wake 🫢sjui utaongea nae nini ?😄💔
2026-11-08 13:31:20
0
✨️Nadiah mukamii ♥️🫂 :
Ila wanaume nmepishana na mwanamke anatoka kwa mpenz wangu namulza mpenz wangu huyu alie toka ni nan anasema ajamuona🥺😭😭😭
2026-11-07 11:44:51
3
Ņ Į Ę Ļ 🐻🍂 :
Nani katumia nyimbo yangu ten 😂
2026-11-08 02:40:44
2
Ester Timotheo :
2026-11-07 10:20:18
1
mirrie💕 :
2026-11-07 08:55:12
1
💞 it's sky jerry🫂💞 :
2026-11-07 08:15:11
1
Angel precious ⚘️ :
tutaongea kuhusu mpenzi wetu
2026-11-08 11:49:54
0
lil bruh🌴 :
nilisema mm kaka ake🥹💔😀
2026-11-07 13:49:04
1
mommy enrique🦋💋 :
ntamwambia mpe mpenzi wetu cm😂😂😂
2026-11-07 13:54:42
1
Miss gemin♊️😇 :
hilo swali naulizwa mimi au mwingine naeza muigiza ashangae ....nitamuuliza kwanini upokeee simu ya mwanangu mimi mama ake mzazi😅😅😅
2026-11-07 20:18:55
3
To see more videos from user @bouhkhan19, please go to the Tikwm
homepage.