1. Kuhisi huwez kuafford kitu
2. Kulaumu
3. Kuogopa kufeli
4. Kuhis mafanikio ni bahati
5. Kusubiri kila kitu kiwe Sawa
6. Kuhisi haitoshi
7. Kufikir lazima utumie nguvu kubwa kupata fwedha
Mfano mzuri ni kwa mpika chapati za kusukuma bila jitihada kila siku utatoa mabati badala ya chapati
2026-11-07 06:28:49
7
CaKito LIVING :
bless you!😂
2026-11-07 09:06:25
0
Elyse :
20/20
2026-11-07 07:02:50
2
Prince Emanuel. :
naombeni ushauri jmn.
me ni. mwanafunzi na, nimepata nafasi ya part time job. ya fani ninayo somea. sasa kuna classmates, wenzangu hawana. and wananiomba ni watafutie. na kwenye hii sehemu niliyopo kuna uwezekano wa kufanya field hapo. na uwezekano wa permanent job. je ni sawa mimi kuwaombea nafasi hapo?.
sorry ni nje ya mada.
2026-11-07 07:43:56
0
Sia :
Mm naweza nikawa sina kitu nikasema nitapata nanapata
2026-11-07 08:09:22
1
inocent kavenuke :
USHAURI MZURI SANA 🙏🙏🙏
2026-11-07 08:26:00
1
Maa' Salma🥰💝 :
Allah akuweke una point Mashallah
2026-11-07 06:25:43
1
catheyhomedecor :
Bola useme mwenyeweee coach😂😂😂😂
2026-11-07 07:45:51
0
Leyla Yassin used uk :
Asante Kidawą 🥰
2026-11-07 06:20:06
0
Mount :
fact
2026-11-07 06:34:05
2
Elaura🖤👑 :
Jmn toyota mark x bei gan?
2026-11-07 08:51:38
0
Homestyle Hub :
mm ni maskini.wa kutupwa😂
2026-11-07 07:47:24
0
Maa' Salma🥰💝 :
pole kunywa maji
2026-11-07 06:26:17
2
Aisha baby 🦋😍❣️ :
minae nikiona 2 post yak n like then nasikilza😁😁😁
2026-11-07 07:56:22
1
Rhoda Msola :
kutembea na kichupacha maji
2026-11-07 08:19:59
0
Fatima🧕🏻❤️🔐 :
Tabia nyengine ya kimaskini ni kufungua mlango na funguo 😁😂
2026-11-07 08:48:30
0
nikoambayeniko_fabrics :
Kulaumu n mbaya sanaaa🔥🔥 ACHA
2026-11-07 09:14:12
0
P E R F U M E P A R L O R :
🔥🔥
2026-11-07 07:16:28
0
SHUTU ACROBATICS :
🔥🔥🔥💯
2026-11-07 07:36:44
0
Stec_designtz :
😁😁😁
2026-11-07 06:45:22
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.