@luckytreey: #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯

Goodluck
Goodluck
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 06:29:11 GMT
69949
4053
99
93

Music

Download

Comments

sanga.makavaja
sanga Makavaja :
(Zaburi 109 mstari 5) wamenichukuza mabaya badala ya mema na chuki badala ya upendo wanga
2026-11-07 09:27:42
79
makukalusoli
makuka🌍🇮🇱 :
Ufunuo wa Yohana 2 10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
2026-11-07 07:15:03
93
user9561508326301
user9561508326301 :
Zaburi 109: 1-39 na wote tuseme ameen
2026-11-07 11:12:43
15
bossladymosha31
Boss lady Mosha :
So they reward me evil for good, and hatred for my love. psalm 109:5
2026-11-07 22:06:10
0
leticia.ngondi
Leticia Ng'ondi :
kila nikikutana na habar za Lissu moyo unaniuma😢😢
2026-11-07 12:25:19
32
tito.silayo1
Tito Silayo :
Biblia. Zaburi 109:5 [5]Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu. And they have rewarded me evil for good, and hatred for my love.
2026-11-07 07:25:19
19
witie029
witie💞🥰 :
mbona msitali mmoja2? mm nasoma misitali yote wa 1 mpaka 32 yote yawapate
2026-11-07 09:10:23
9
nassorojr6
38Nassoro jr :
Wamenilipa mabaya badala ya mema, na chuki badala ya upendo wangu
2026-11-07 07:10:45
16
edgamitumba1
MKINGA MITUMBA :
wamenichukuza mabaya badala ya mema na chuki badala ya upendo
2026-11-07 07:13:22
13
tully_3
tully😍 :
tunasoma yote broo
2026-11-07 09:21:50
1
marcelohijaibrahim
Marcelo Hija :
##FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU #BABA #FREELISSU
2026-11-07 18:10:45
1
venerandampesa
veneranda880 :
wamenichukuza mabaya badala ya mema , na chuki badala ya upendo wangu.🙏🙏😭
2026-11-07 10:14:16
9
user65618138631576
banzi :
zaburi 35 isimame na familia ya mugwai lissu
2026-11-07 09:08:10
5
linakeake
linakeake :
Pokea Ombi letu baba Mungu🤲🙏
2026-11-07 19:41:51
2
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
ila mungu amtete mtumishi Wake 😢
2026-11-07 09:01:46
3
debora.zabron6
Debora Zabron :
mungu amtee sana
2026-11-07 09:16:32
2
johannes0035
johannes :
wao
2026-11-07 10:02:49
2
zezekwetu1
F tz kigoma01🇹🇿✔️ :
danilodi bibilia
2026-11-07 16:50:25
1
josam.onesmo
josam onesmo :
pokea ombi letu baba mungu
2026-11-07 15:39:42
1
mc.alute
MC ALUTE :
sio tunaumia wengi sana
2026-11-07 17:06:14
1
marllah06
magrethherin :
zaburi noma sana 109
2026-11-07 10:08:53
2
user7656653616022
user7656653616022 :
Pokea ombi letu Baba Mungu
2026-11-07 10:03:51
1
osty1405
ostyo1405 :
wamenichungz mabay badala ya mema na chuki badala ya upendo
2026-11-07 10:22:34
1
user1523954593962
flowers :
nimaumivu Mungu jidhihiridhe bass
2026-11-07 09:15:05
1
user4291234268259
Sophia :
wamenichukuza mabaya badla mema na chuki badala ya upendo wangu
2026-11-07 15:10:05
1
To see more videos from user @luckytreey, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About