@kataa_wa_huni: Nataka nimwambie SAMIA SULUHU Sisi (CHADEMA) tumejiandaa kulipa Kwa Gharama yoyote Ile Kwa Ajili ya Tanganyika 🌗. By John Wagesa Heche ((Wewe sio Mungu )) . JOHN HECHE PRESS CONFERENCE #tanzaniantiktok🇹🇿 #genz #kenyantiktok🇰🇪 #katiba
ninacho penda kuwaambia Watanzania tunakofeli ni kuwa na kadi ya uwanachama wa vyama vya siasa ndugu zangu hutakiwi kuchagua chama chagua kiongozi
2026-11-07 08:39:34
31
Luka Kwayie one :
mm nafkiria tu huo uchaguz wa urais ujao itakuaje maana sizani Kuna mtu atajihangaisha kupiga kura hata hzo za wiz sijui watazipata wap inaonekana kitanuka zaid
2026-11-07 09:28:09
28
mjengwa tz89 :
chadema tusonge mbere tutafika
2026-11-07 12:14:55
6
Jack ☆♤♡ :
2030 tundu lissu ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzanian naamini hakuna mwananchi yeyote kumpa mwana ccm kula lissu baba yetu tunakuombea utoke salama naisi majonzi makubwa😭😭😭😭😭😭
2026-11-07 11:37:22
9
Augustino Mrombo :
Praise God, for truth
2026-11-07 13:56:33
0
sqaina Ibburnassy :
jaman chadema inawatu waojielewa makada embu ameni njoo huku jamn hamuoni mungu awaweke hawa wa2 ipo sku haki itasimama tu mungu mkubwa🙏🙏
2026-11-07 09:00:09
11
phickir shettar :
na nawaombeni watanzani musihusike na kura zao za uchaguzi ujao
2026-11-07 14:01:30
1
GODINHO 😎🤏 :
Tundulisu's destiny is to be President of TANZANIA
2026-11-07 13:17:20
1
user7907421881251 :
wameona hahibu cccm kwasababu ameshinda kesi
2026-11-07 13:21:48
2
Kíwá Høød :
people's power ✊✊✊
2026-11-07 12:38:03
2
Kibegii24 :
sas ndo maan nmeanza kumwelew traore kuhus bukina faso
2026-11-07 10:14:37
4
djxmumbabella :
safi.
2026-11-07 13:36:20
1
YOSSOTZ MASTER🎧 🇹🇿 :
Ccm chawa sana ata siwapendi kuwasikia ccm
2026-11-07 08:01:45
3
Timba :
Asante 🇹🇿
2026-11-07 12:29:20
1
user3852971019163 :
kwel kabsa ujakosea
2026-11-07 09:32:46
2
Jalome Patrick :
mung atusaidie tuuu
2026-11-07 08:46:49
4
miss ndaga :
Mungu akusimamie Baba
2026-11-07 10:00:12
2
ZULFA :
jamani haya maumivu mw/mumgu anaona
2026-11-07 09:04:27
2
Godya Mr cash :
it's true
2026-11-07 08:27:10
2
Dead killer :
sure
2026-11-07 08:31:20
3
omaryzain1 :
daah
2026-11-07 08:31:39
2
msukuma mnywamaziwa :
hakika LISSU ni mwema mungu mpee maixha marefu peoplez chandema oyeee ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
2026-11-07 09:34:27
2
Abery simoni A.k ysgegesa :
huo ni ukwer usio fichika
2026-11-07 12:54:42
2
fidolin :
viongozi wawe na hof ya Mungu ipo siku itakua zamu yao
2026-11-07 08:56:34
4
JM² :
Heshima
2026-11-07 10:37:17
1
To see more videos from user @kataa_wa_huni, please go to the Tikwm
homepage.