@lilymediaa: inadai kuwa mwanaume mmoja nchini Ivory Coast alitumia miaka 14 akilipa kodi ya nyumba, bila kufahamu kwamba mwenye nyumba aliyokuwa akiishi alikuwa mke wake mwenyewe. Mwanaume huyo amelia kwa uchungu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye aliyekuwa akimiliki nyumba hiyo katika kipindi chote walichoishi pamoja. 😳 Je, wewe ungefanya nini kama ungegundua kuwa umekuwa ukimlipa kodi mke wako kwa miaka 14 bila kujua? #goviral #kochampyayanha #magoliyanamungovssimba #hukumuyalissu

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 07:15:20 GMT
104247
3420
298
863

Music

Download

Comments

minahshabani5
minah0488 :
sas shida iko wap apo alichangia ujenz
2026-11-07 07:45:10
291
user1163828665746
user1163828665746rithamank :
sasa alitaka akae bure uruma sio malezi
2026-11-07 08:26:18
114
vanillamelkion3
Vanilla :
Analia nini sasa
2026-11-07 07:58:41
78
iamnevah
Iam-nevah🦋❤ :
Na hiki ndicho kitakacho mkuta mume wangu😂😂😂😂😂
2026-11-07 08:10:27
47
charmingpajamastore
Charming-PajamaStore🛍️✨ :
Sasa apo analia nini mtu asifanye biashara jamani
2026-11-07 08:13:17
80
khatmar_
khatmar :
yani badala kumshukuru mkewe anajua kusimamia biashara anampigia kelele ,jamani mbona kurudishana nyuma.
2026-11-07 09:03:40
0
user3143307765161
Editha#123 :
kwahyo alitaka kuishi bure au?? 😳
2026-11-07 08:45:31
9
mariam.rweyemamu
Mariam Rweyemamu :
msijaona tatizo alipe na akichelewa notes anapewa
2026-11-07 08:05:42
25
eva.lazaro95
Eva lazaro :
ila sisi wanawake tunapepo yetu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 08:51:46
0
officialdinah03
dinah💫 :
alitaka akae bila kulipa au[Tears of joy]
2026-11-07 08:37:15
8
fadymay.khatib
F@dym@y@🌸🦋 :
This is business
2026-11-07 08:47:20
0
chimaay04
❤️chimaa_19 :
😂😂my dreams 🥰my goals
2026-11-07 09:08:26
0
nyakinyongochamag
nyakinyongo chamageu :
jaman ni mjomba wang huyo hua anapresha mmpeleka hospital mapema.....
2026-11-07 08:08:08
8
officialbabyt50
officialbabyt :
Sasa apo shida ipo wapi???
2026-11-07 07:39:05
18
shame_official0
shame_@official ✨️❤️ :
alitaka akae bure
2026-11-07 08:28:33
6
eveline.stephano
Eveline Stephano :
Sema huyu baba analia vizulibjmn
2026-11-07 07:30:00
11
user8499820754209
Aggy✝️ :
huruma sio malezi
2026-11-07 09:07:43
0
joycelyimonara
JOYCE LYIMO (nara) :
na usingeambiwa ulipe kodi hizo pesa zingeenda nnje.
2026-11-07 08:31:16
6
officialdebbie93
Adadioramma🧿♎️ :
Analia nin sasa ana nyumb mjini?
2026-11-07 08:04:32
8
racheljoseph458
racheljoseph458 :
kwan shda nn alipe hakuna Cha bure
2026-11-07 08:03:29
7
himdatdumilayunus
Himdat Dumila Yunus :
kuna kodi ya miaka 14 na hata akilipa pesa zipo kwa mkewe shida iko wap
2026-11-07 09:12:18
0
fett004
@fetty🦋🦋 :
sasa mtu si biashara yke mapenz na biashara mbona vitu viwili tofaut lia mpk upasuke mie ndio nishafanyia yngu iyo ela kama talaka iweke pale nikirud kutoka mihangaikon nitaikuta tushachoka sie
2026-11-07 08:45:15
4
hingsan
Hingsan Jo :
nyumba yetu nalipiswa kodi?
2026-11-07 08:39:45
2
user6836612936202
shishi michambo :
Alichofanyiwa sio kitu kizuri jamani kwa nini amfanyie hivyo jamani
2026-11-07 08:11:02
4
benever6
Benever :
me nikajua yake Sasa analia nn
2026-11-07 08:16:41
5
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About