@chawamata_tv: VIDEO: Dereva kutoka nchini Burundi ametoa wito kwa viongozi na mamlaka zinazohusika na usalama wa barabarani kuhakikisha wanatoa taarifa kwa madereva kabla ya kuanza kufungua au kuondoa namba za usajili kwenye magari yao, akieleza kuwa kitendo hicho kikifanyika bila taarifa kinaweza kusababisha vurugu. Akizungumza kuhusu changamoto hiyo, dereva huyo amesema kutokana na uzoefu wa kutembea katika nchi mbalimbali, madereva wamezoea kuwa mtu anapofungua sehemu ya gari bila taarifa anaweza kushukiwa kuwa mwizi. Ameonya kuwa hali hiyo inaweza kusababisha dereva kushuka akiwa na spana au mtalimbo na kumshambulia mtu anayefungua namba hiyo akidhani ni mwizi. “Unaweza ukaja ukafungua plate namba, nikashuka na mtalimbo au spana nikakugonga kichwani, nikakuchukulia kama na wewe ni kama wengine. Tafadhali muwe mnatupa taarifa ili tuepushe na shari,” amesema. Aidha, ameeleza wasiwasi wake kuhusu uimara wa namba hizo, akisema zinapofunguliwa na kurejeshwa zinaweza kuhitaji kutobolewa tena, jambo linaloweza kuzifanya zikatike au kudondoka barabarani kutokana na ubora wa bati lililotumika. Amesisitiza kuwa ni muhimu mamlaka husika kuwasiliana na madereva kabla ya kuchukua hatua hizo ili kuepusha uharibifu wa magari na migogoro isiyokuwa ya lazima. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #breakthrough#habarileoupdates #tanzaniaweddings #breakthroughloveteam #chawamata_tv #breakingbad #breakingnewsph #TzUpdates #newspapershoot #newspapers #newspapershirt #newspaperstand #breakingnewstz #tznewspapers
CHAWAMATA TV
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 07:35:21 GMT
Music
Download
Comments
Mbilinyi :
Tz inatia aibu sana
2026-11-07 08:25:58
65
𓃭 :
Kiswahili kizuri kuliko cha kenya
2026-11-07 14:05:27
14
BEACH BOY :
Tanzania nchi ambayo viongozi wake vilaza
2026-11-07 08:31:14
26
*أرفه* :
mimi mtanzania ila hakuna inchi nzuri kama ya burundi tatizo tuna viongozi akilizao matope
2026-11-07 09:10:40
30
Mamaa♥️🦋 :
Mnatokea nchi gan na nyie[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 12:39:50
2
user4674080617414 :
Nchi ya Tanzania na sheria zetu za hovyoo ni aibu sana kwa nchi majirani
2026-11-07 15:48:46
4
godsign :
Jamaa apewe nchi kabisa
2026-11-07 12:51:21
7
Zohan Truck Driver :
Tangu nizaliwe mrundi kaongea point ila rafu barabarani.
2026-11-07 10:31:55
2
KEY IG 🇨🇩🇨🇦 :
🥰🥰🥰ebana big up sana
2026-11-07 14:47:32
4
tamlah :
kwani tzn inashida gani jmn
2026-11-07 19:02:14
0
Kashili Kashili :
ni kwelii kabsa
2026-11-07 08:34:50
5
Official Chidy Daddy :
Nyie Ndio Watu Tunao Wataka Maana Bongo Hakuna Haki
2026-11-07 12:49:57
2
SYDNEYs/o SAMSON :
Naomba tangazo hili rasmi pia liwafikie na Askari wa Vwawa
2026-11-07 14:31:18
2
mhina :
kalibuni sana tanzania
2026-11-07 09:50:41
4
mama watoto14 :
tanzania imeharibika mno ubaguzi tyuuu
2026-11-07 17:09:11
1
Abeilson Mwakalinga♿ :
sawa warundi tumewasikia
2026-11-07 18:48:44
1
Simai :
Yani akili mali nguvu mzigo 🙏
2026-11-07 09:38:25
2
God is everything :
huo upuuzi wa kutoa plate number upo Tanzania tu sijawai kuona inchi yoyote ile. hivi wabongo tunanini mbona tunajiamlliia mambo. hii aibu sana.
2026-11-07 17:32:55
1
Elison mkali 2 :
Tanzania Iko na laana akia mungu
2026-11-07 11:56:47
1
user5854974237931 :
Upo sahihi ndugu yangu
2026-11-07 09:10:13
1
Jimmie :
yaani bibafsi siupendi utaratibu wakufungua Plate number za gari.
kwani kazi ya namba niipi ikiwa gari imesajiliwa
nataarifa za mmiliki zipo.
NA POS MNAZO ZA KAZI GANI AISEEE...??
Sipendi kinoma
2026-11-07 10:40:00
1
John Ngabana :
zina bondwa tu maelekezo mbele
2026-11-07 09:01:31
1
Neema Sapna Kaila :
President wacu arabura ivyakunda akunda abo bageser ngo naba Tanzanie
2026-11-07 20:09:27
0
AggrexZone 🌐🚀 :
Burundi moja iyo 😁
2026-11-07 17:44:05
0
To see more videos from user @chawamata_tv, please go to the Tikwm
homepage.