Hakuna mwenye anapenda ......wanaume wanajipenda wenyewe❤️
2026-11-07 12:20:21
192
Biena :
ushaanza kuongea mambo ya mana Sasa safi sanaaa
2026-11-07 10:42:59
78
Faiz :
kama amewaoa basi anawapenda
2026-11-07 23:35:05
0
Madera by coco :
Mapenzi hayajifichi jmn😂😂ukiwa hupendwi unajua kabisa hupendwiiii
2026-11-18 06:47:54
6
aishamsemwa548 :
Nachojua mke mkubwa ndo anayependwa zaidi
2026-11-07 14:50:25
29
femme forte :
anipende asi nipende atajua mwenyewe, mimi uduma inatosha
2026-11-07 13:41:15
12
Hawa Ibrahim :
Mimi konda ngoja nikae kimya
2026-11-07 13:58:07
31
MAMUHSIN STORE | HOME DECOR :
Na mwanamke mwanaume anaempenda anamjua mwenyewe😂😂
2026-11-07 09:52:04
10
salmasheby2 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huo mfano wa gari na dereva
2026-11-07 08:48:16
6
Yasinta Emidi :
Mi nachojua Wanaume Huwa hawajui wanataka nn😂
2026-11-20 14:39:57
1
MamyaNu&Mu💪 :
atajua mwenyewe mi Niko mwenyewe lakini kama anamwingine nje na mi ninae ninaempenda sio shida zangu🤣🤣🤣🤣
2026-11-07 09:17:30
14
Mrs hamza Nyumba😘😘 :
Kuna ndugu etu alikua na wake wanne ,,na alikua na mchepuko wake kampangia Kila siku lazima aende akalale mchanaa jioni anarudi kwa wake zake jaamaan🤣🤣🙌🙌🙌
2026-11-07 17:57:04
8
lemadame2 :
Kwakweli[Tears of joy][Tears of joy] leo umeongea point kubwa sana Mama B, wanawake tuache kujipa umuhimu kwenye maisha ya mwanaume yeye mwenyew anajua anachokipenda
2026-11-07 08:07:14
14
mama double M. :
Leo mama B umekuwa shoga angu 🥰🥰
2026-11-07 08:42:04
6
Natural _45 :
uzury hata siee kwenye wanaumee 4 tunajuaa mwenyw tunmpendaq
2026-11-07 12:20:52
10
loveness actress 🎬 :
naishiwa chakuongea mm🤣
2026-11-13 20:37:40
2
user1807610263684 :
kweli kipnz yan
2026-11-18 19:53:15
1
Mwajuma Athumani846 :
we utachanganyikiwa sana ndugu yangu
2026-11-22 14:27:12
1
hilmahamad :
Uzuri anaetak kulia unamjua😂
2026-11-19 17:13:16
0
Mercedes maresa :
njooni tuolewe kwa wa sukuma huku hatugombanii udereva kila mtu na zake sjui tumerogwa ah nachoka 😂
2026-11-07 21:55:38
0
princess ashuna :
naata mwanamke kuna mwanaume anampenda[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 14:49:09
5
tullyhoza :
bwana kwenye uke wenza anaependwa anaonekana tu
2026-11-09 11:11:42
2
To see more videos from user @mamab_tz, please go to the Tikwm
homepage.