@eghomotors: 🚘 KARIBU EGHO MOTORS – SEHEMU MOJA, SULUHISHO ZAIDI ZA MAGARI! Unahitaji kununua gari, kuagiza kutoka nje, kupata gari kwa mkopo, kuweka akiba kupitia NDINGA KIBUBU, bima, accessories au mobile car wash? EGHO MOTORS tupo tayari kukuhudumia! 📲 Wasiliana nasi leo: +255 616 000 694 +255 766 633 777 📍 Sinza Vatican, Dar es Salaam. 💬 Tuambie kwenye comment: Ni huduma gani ya EGHO MOTORS ungependa kuitumia? #EGHOMOTORS #YourTrustedCarPartner #CarSolutions #Tanzania

eghomotors
eghomotors
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 08:28:03 GMT
199815
6594
212
379

Music

Download

Comments

deroshi_tz
MJOMBAA :
😅😅😅 baki na gari lako bna
2026-11-07 09:59:07
44
abduly.kidary
Abduly kidary :
baki na gari lako[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-10 03:47:39
2
glory.bryton
neyma 💞💞 :
😂😂😂 noma san
2026-11-13 13:43:04
0
king_reuben
@Reuben_sayi :
waipa Ina fanana na endiketa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-07 09:31:55
12
leticiaalto402
leticia❤😘🌹 :
Mi na hasira zangu nipge nikupige🤣🤣
2026-11-08 09:39:54
10
am_tasniim
Tasniim❤️ :
Driving school🙌🙌🙌unapigwa mapaja hadi ukome😂😂😂😂😂
2026-11-07 17:33:02
16
angel.angel3809
Angel Angel :
siamini najua kuendesha nyie haikua rahisi,nilikua nikiganyaga mafuta tunajikuta tuko kwenye vichaka
2026-11-13 15:15:50
2
jelisi.elisen
Jeeee💖 :
Mimi nilikuwa nafundishwa na mpenzi wangu, tulikuwa tunarudi hatuongei 😂😂
2026-11-09 05:08:30
16
kklhhhhkk
ROI BELGE ISSA :
mimi ni huyo kabisa nilienda wiki moja tu nikaona kipigo kimezidi na mimi nina watoto na pesa nikawaachiya sipendi mizaa ya mwilini mimi
2026-11-11 12:56:53
6
user63124341581358
Peter richison✅ :
ata mm makelele sipende
2026-11-11 09:32:17
2
sostenesschindung
Sosteness Chindunguka :
hii sio nzuri kwa marketing ya chuo chenu..find contents which is very interesting 😅👊
2026-11-08 09:09:43
0
esther.likosamoto
estherlikosamoto :
mnafundisha au matani[Tears of joy]
2026-11-13 20:30:02
1
mahamoud420
Mahmoud :
Yaani daah, mm nlikua nakata skani kulia n kushoto ila mwalim alikua ana niangalia sanaaa, kumbe lile gari lilikua lishazima muda mrefu na sijui😂😂😂
2026-11-14 17:06:03
0
bahati.lenad.gwimo
BHT. LND :
sawa hata nisujuw utumwa ha2pend upuzi mie uyoooooooh🤔🤔🤔
2026-11-08 03:40:21
1
unknown.exe280
Nex mor💯🦴 :
Anawasha wifi
2026-11-09 05:13:17
1
cypriankhan
cyprianKhan :
brother kazi ya kumfundisha mtu gari siwezi aiseeh nilimfundisha mke wangu leo ni siku tatu atuongeleshani kaka kazi sana
2026-11-12 11:38:49
1
susiesusie255
💲suzy 🇹🇿🇹🇿✅ :
2026-11-12 11:36:52
1
dpw_luluuuhhh
Luluuuhhh🫠⚡️ :
mwalimu na mimi baba mmoja sijui kufundisha Hasira moto
2026-11-07 19:21:46
1
fulgence153
fulgence153 :
hii mbaya
2026-11-08 04:57:14
1
feifeiyusouf1
𝕊ℍ𝔸𝔽𝕀𝕀 :
🤣🤣🤣 wallahi mnanichekesha bila hata gharama 🥰🥰🥰
2026-11-07 19:56:40
2
unknown_tiktoker.23
Unknown tiktoker :
dereva wangu wa bolt alinfanyia hivi baada ya kumwambia imesoma 500 nna offer 😂
2026-11-11 21:27:55
1
zaradavie
Sarah Luxe 🛍️ :
Hii sio content 😅😅
2026-11-09 11:25:25
1
mamkwe36
Ma Mkwe💕💕 :
🤣🤣🤣🤣
2026-11-07 16:26:45
1
shaa.burhan
Shaa Burhan :
Dah napenda sana nilifundishwa na mwana funzi wa baba ilikua hadi raha lakn alikua ashaamaliza.masomo.akaondoka.baada.ya wek 1.hakuna.niliewezana.nae.tena.ndompaka.leo.kunammoja.mkalihuyo.sikumoja.kanipgia.kelele.vuuuuuuuumtaloni😳😂😂
2026-11-08 20:23:50
1
To see more videos from user @eghomotors, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About