mm naweza sema huyu mtu mungu anakusudi nae hata haya yote anayopitia
2026-11-07 12:46:35
166
judithurassa :
Huwa nashindwa kujizuia😭😭😭😭😭😭
2026-11-07 12:09:14
36
Hafotdesign :
msijifanye hamkusikia mwaka 2029
2026-11-07 15:12:25
17
_sheisinah_ :
2029 au nimesikia vby😂
2026-11-07 15:29:18
2
Blessed💫Gee💕 :
IPO sababu ya Mungu kumuweka mpaka sasa🥹🙌🏾
2026-11-07 17:04:36
11
Edda kezilahabi :
😭😭😭😭nimeumia sn mungu Bado anakupenda sn ukitoka achana na siasa kua mchungaji tu
2026-11-07 13:24:59
20
🦋Neery🌹🌹🦋🦋🥀🌺 :
😭😭😭😭😭 Mungu ingilia kati katika hili maana maumivu ni makali yanachoma mioyo ya kila mtuuuu simama nae kama ulivyosimama na Daniel katika tundu la simbaaa
2026-11-07 13:38:41
12
Nafsa Hamis :
mimi njngeshaachana na siasa wanadam hatuna huruma pole wakwetu
2026-11-07 11:53:48
12
FYADE KAMA FYADE :
ANYWAY TOMORROW IS MY BIRTHDAY
2026-11-07 14:03:00
2
user6361774298115 :
daaah........so touching 😭
2026-11-07 17:17:53
0
boss :
too painful
2026-11-07 14:31:07
0
Erasmus Mallya :
chadema wanapaswa kutoa video pamoja na vitabu vinavyomuhusu lisu mwanzo mwisho
2026-11-07 12:25:13
20
Sabry Khalfan :
kwani akiachana na siasa itakuaje
2026-11-07 15:41:45
1
Editha Kokuberwa :
Mungu na atimize azima ya kusudi aliloliweka ndani yako. Fanya hima Mungu mtumishi wako amechoka
2026-11-07 18:12:13
2
Damas ku nu gu la :
Nawaliyofanya hiki kitendo mungu pekee atalipa juu yenu
2026-11-07 14:40:47
4
ester samweli♥️🥰 :
inauma wakuu😭😭
2026-11-07 11:57:55
7
Mr.Humanity2020 :
mwaka wa mbele sana ..2029..
ila tundu ni tundu...
God bless him 🙏 ❤️
2026-11-07 16:52:49
2
user1698703158341 :
inauma sana.mungu awe pamoja nawe
2026-11-07 11:57:27
5
fauzia yahaya :
pole sana babaangu MUNGU yupo hajawahi kulala wala kusinzia atakulipia kwayote unayo yapitia
2026-11-07 12:52:57
6
neemamsemwa261 :
napata hasiraaaa🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-07 12:22:32
3
fransisconkuyumba :
#Free TUNDU ANTPASS LISSU
2026-11-07 18:21:51
1
Jessykah kimath❤️🔐 :
2029 ishafikaaa au mm nipo nyuma ya calendar??
2026-11-07 14:09:43
0
SAKINA STORE🛍 :
au nimesikia peke angu 2026
2026-11-07 16:08:50
0
Wishynee :
Duuh Mungu atalipa kwa hili wallah 😭
2026-11-07 16:19:46
1
singo mzava :
Yesu uko wapi uamue
2026-11-07 15:34:59
2
To see more videos from user @king00brotherfamill, please go to the Tikwm
homepage.