I DON'T KNOW HOW TO SAY BUT THANKS FOR GOOD LESSON BE BLESSED
2026-11-08 09:32:42
5
Delnique♥️ :
I'm stupid wa kwanza Huyu 😅ila sio kama naogopa atakua na mwingine HAPANA...wetu Naogopa kama atajiskiaje atakapogundua nimemwacha yan mind you aliniambia ye kawahi kutendwa tu na wanawake...sasa sitaki kua kwenye list ya waliomuumiza.Nishauri
2026-11-14 12:50:45
0
Janeth Juma :
kwahyo umeona unidhalilishe humu
2026-11-17 23:12:27
0
عائشة 23 :
sitaki kuamini mimi ni stupid pia😂
2026-11-08 17:16:53
1
rinaa♥️♥️ :
am sorry to chair man[Laugh approved]
2026-11-08 18:15:03
0
@situmy baby_7879 :
kwenye kufosi ndoa ikiwa nishapigwa matukio yakutosha tena mm ni STUPID mjinga mm sasa naanza kujuta sana wallahy niko naongea ukweli hii inanitesa san mpka sa😰😰
2026-11-07 17:34:34
0
farida kalamuser194f320553378l :
than
2026-11-07 16:50:14
0
judy :
vip kuhus mme wamtu ila anakujali na hasemi mambo ya mke wake kwako anaficha ila anasema ataniowa nifanyaje
2026-11-18 08:24:52
0
kamamaa🥰💍🔐 :
ndo uniseme mm
2026-11-07 18:01:34
0
Raiyyan :
fact 👌
2026-11-07 20:27:25
0
@Dee💞 :
haloooh mbna kama na mie ni stupid
2026-11-09 18:00:08
0
mama ibrah :
2026-11-10 07:42:58
0
Introvert 🫂 :
Em nitukane tena vizuri au unipige kabsa 🙌🏻
2026-11-18 08:02:51
0
Irene :
Hio ya kwanza ni mm nipo na mtu hanipendi but Navumilia Nahis nikienda kwa mwingine watu wataniona Kama me malaya🥹
2026-11-08 17:21:37
0
TUNDA ESSENTIALS STORE🛍️ :
@Mrs S 💍❤️🔐 soma kwa saut😂
2026-11-07 13:48:45
1
Loml🥀♥️ :
😂😂
2026-11-07 20:56:24
0
To see more videos from user @ladiestalk7, please go to the Tikwm
homepage.