@msfetty198:

Ms_fetty198
Ms_fetty198
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 09:50:48 GMT
49107
1808
514
20

Music

Download

Comments

nida10066
Trinity :
Jamaa kaongea ukweli
2026-11-07 10:35:23
55
adventinahevarist
TINASHA COSMETICS DODOMA 💖🌍 :
kumbe kajingaa[Tears of joy]
2026-11-07 11:34:41
9
bock.philipo
Bock Philipo :
Yaan wapo wanawake wanapambana kabisa ila ktk kupambana kwao hua kuna mwanaume gizan anaesuport mafanikio yao ilo lipo waz jmn sio km tunawachukia hpn
2026-11-07 11:45:11
19
diloestanley
Diloe Stanley :
Mbona makasiriko dada kwan kakutaja
2026-11-07 11:51:15
18
samweli708
🎚🎚SAMWELI 🎯🥎🏀🥎🪢🪀📌📍📡 :
huo ndo ukweli acha kupanic
2026-11-08 04:29:15
13
mamygiana
bby mama :
kuna sisi ambao hatujui hata ladha ya pesa ya mwanaume
2026-11-07 13:40:38
27
timetravelexpart
Time Travel Specialist 🌠🌌☄️ :
kaongea ukweli sio kitu rahis mwanamke kuwa pekee yake kwenye safar yake ya upamabanaji
2026-11-07 12:32:53
11
mfalmehassan45
Mfalme Hassan :
Sio kweli mbona wapo wengi ambao wanapambana na hakuna mtu nyuma yao badili mtazamo mkuu
2026-11-15 11:51:00
0
mijuzo12
never give up :
ukiona kitu kilichozungumzwa alafu kama si cha kwel lakin ukiambiwa unaanza kupanik bas kuna ukwel ndan yak
2026-11-07 20:18:42
6
jenk2728
jenk :
Kuna sisi atuna wa kutupa ata mia tano broh na hatujui ata kudanga ni nini 🤣🤣🤣🤣
2026-11-07 15:24:24
5
idrisaiddydigila
digila :
wengi wanadanga
2026-11-08 17:14:01
1
haniphaomar
goat :
wanaum waache kutuongelea
2026-11-07 10:23:08
5
willyclassic620
nachoka na haya mambo , ,🤔🤔 :
humo humo kwenye biashara zinabondwa vibaya mno [Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha]
2026-11-09 10:37:00
1
neemadaudi442
Neema Daudi :
kaka sio kweli sio wanawake wote wapo hivyo wengine ni mungu tu
2026-11-07 10:50:28
1
user6836612936202
shishi michambo :
kuna wengine hatuna wanaume bhana wa kutuhonga tunapambana wenyewe
2026-11-08 11:26:04
1
didierx33
DIDIER X :
jamaaa kaongea fact,
2026-11-07 10:39:40
5
user4613247377509
Method kifoka Method kifoka 82 :
kwani uongo
2026-11-08 07:11:14
0
nelyz041
Light :
Ila jmn tuongee ule ukweli wa Mwenyenzi Mungu Bhnaaa ni kweli kabisa wanaume pia wanaMshango wao katika Mafanikio ya Kila Mwanamke,,,Na Sio kwamba wakati wanatusupport Sio Kama wadangaji hiyo kauli kidgo itenguliwe
2026-11-07 15:44:25
3
msukumammoja12
Samiry Sammy♓️ :
HIYO VIDEO IMEKATWA😹WATU TATIZO AMPENDI KUSIKILIZA FULL INTERVIEW HIYO VIDEO IMEKATWA KIPANDE KINACHOFATA NIMESEMA ILA SIYO WOTE KUNA WANAWAKE WANAPAMBANA
2026-11-07 11:20:43
2
telesia709
Telesia :
Mimi Nina mwaka wa 10 sijui pesa ya .mwanaume ila Nina nyumba 3 napamba mwenyew
2026-11-07 19:39:32
0
getruda.msokwa
Gee dimpoz🥰🥰 :
JAMAN ACHENI KUTUDHARAU JAMAN JAMAN lakn wanaume kumbukeni kuna baadhi yenu mmelelewa na single mama mpambanaji je alukua anadanga me mwenyewe imeniuma
2026-11-08 03:48:35
0
user4035802313558
user4035802313558 :
KAKA MWANAMKE AKIPEWA NI SAHIHI. TUMEUMBIWA KUPEWA KUHUDIMIWA KUTUNZWA! UKIAMUA KUJIPAMBANIA SIYO THAMBI!
2026-11-07 22:32:01
0
user3980018743659
user3980018743659 :
nachoka mimi, watupumzishe
2026-11-09 06:25:09
0
user5503509734771
Ahlam :
huyu katukosea san 😥
2026-11-07 17:28:25
1
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About