Ninawakika kabisa hii ndege imetengenezwa Tanzania🤣🤣
2026-11-19 13:40:10
1
Baba jr :
inauzwa bei gani [Tears of joy]
2026-11-19 13:47:14
1
Pacheco👳 :
mtandao unasumbua ngoja nikate nakupigia tena
2026-11-19 12:07:40
1
user7319126820929 :
hapa co tz kweli maana sisi
2026-11-19 15:48:35
1
driss_memes😂 :
watu mna masiahara sana😂
2026-11-19 12:38:19
1
Othman_bay :
mimi ndo pirote wa hiyo ndege haina changamoto yoyote sema betrii tu ndo ziligoma kupiga start
2026-11-14 18:39:23
3
Sam#Event :
naombn lift
2026-11-17 16:34:50
1
zedy :
haraf wapandemo
2026-11-18 17:28:23
1
Abunuwasi ms@ka tonge :
hapo naahirisha safarrii sipandi tenaa😅😅😂
2026-11-18 08:59:48
1
Stephano Shigongo :
bora wao wamesukuma ndege 😂
2026-11-09 16:21:31
3
unknown :
ila kenya🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-19 10:27:14
1
MESEN SULE :
mkuu apo unaistulia gear namba ngapi
2026-11-12 14:08:05
1
@Official✌️...daudi.💥💥 :
hiii nchi nitafte tu pakutokeaaa weeeee
2026-11-07 21:24:16
1
Gerald mchonga :
2026-11-19 14:25:00
1
Pacha wa Alikiba 👑👑100%✓✓✓ :
😂😂😂😁 Nimecheka hadi nimejamba tena ukweni waniuliza wewe kwenu ni last born au 😂😂😂😂 sijajibu naambiwa wewe ni jeuri baba mkwe ameenda kutafuta fimbo kiwake ukweni sasa 😂 hapa kuna mambo hayo ✌️nikae au .....🏃🏃🏃🏃😁😁😂😂
2026-11-09 04:57:00
2
Leonard philipo :
hapo gali linauwa krachi na ndege inakufa kabisa
2026-11-07 17:30:08
1
NELSON @ :
halafu
2026-11-11 17:57:58
1
Eliya mchelu :
hii ndo Njombe Airport ajira zipo pia kikubwa nguvu tu
2026-11-19 13:26:56
2
SHAFII MAYANGA :
msije mkatafutana angan
2026-11-19 03:52:38
1
G°ẞ°R£_∆2 :
Jambo Kubwa kujamba Ukweni 😁😂
2026-11-19 15:16:39
1
HYPERSONIC 🅾️🅿️🇺🇲 :
2026-11-16 06:13:31
1
one kill one cover :
wakenya sijui mtatuambia Nini hapo😅😅😅
2026-11-08 03:05:42
1
Juma Said :
hii ime over run mbona kawaida hiyo na itaruka ndege nzuri sana hizi Let 410
2026-11-07 17:55:57
2
DATIUS PIUS KABANO :
nchi gani hii
2026-11-11 20:26:12
1
To see more videos from user @jose_chikunde, please go to the Tikwm
homepage.