@tbc2_online: Mtu mmoja anayejulikana kwa Jina la Ramadhani Saidi dereva wa Bodaboda mkazi wa Mtaa wa Mawasilino kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika nyumba moja ambayo bado haijamalizika kujengwa huku Pikipiki yake ikiwa haijulikaniki ilipo hadi sasa. Akizungumza na TBC Mjini Morogoro Mwenyekiti wa mtaa wa Mawasiliano Mussa Kilewa amesema kuwa kijana huyo amekuwa akitafutwa kwa takribani siku Tatu bila mafanikio. Kwa upande wao Madereva Bodaboda wenzake wamesema marehemu alipigiwa simu na abiria, baada ya kuondoka katika kijiwe anachofanyia kazi hakuonekana tena hadi siku ya leo ambapo mwili wake ulikutwa ndani ya nyumba hiyo ukiwa tayari umeanza kuharibika. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefika eneo la Tukio na kuuchukua mwili wa marehemu kwaajili ya uchunguzi zaidi. @remmyyasinti #2Digital #tbc2updates #tbc2yakijanjazaidi

2Digital
2Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 10:35:38 GMT
16853
400
10
7

Music

Download

Comments

babynanaah
♥️Mrs Hance pop🌹 :
Moro sehem gani
2026-11-08 08:14:58
0
maimahagatila
Mai Mahagatila :
polen sana
2026-11-08 08:09:28
1
hd.cute02
hd cute 💗💗💗 :
jaman rama mbona mapema rafiki angu nakosa cha kusema mim
2026-11-08 05:28:33
2
munaithar1
MUNAITHAR :
Moro yetu nayo Imefika hv??😭😭
2026-11-08 08:03:52
0
shuuh534
shuuh :
daah mungu awape nguvu
2026-11-08 07:13:08
0
andrmom2
Andr mom :
Mungu walinde hawa wababa jamani
2026-11-08 06:42:34
0
rebeca.mhoja.paul
REBECA MHOJA PAUL Paul :
yaani baadhi ya watu wa mgodini wanauwa watu ili kuendeleza utajiri wao pole sana kwa familia
2026-11-08 05:11:00
0
crementinahagatho
crementinahagatho :
poleh sanah wanaume waheshimiweh
2026-11-08 07:13:00
0
phintermasota
Phinter salvus :
daaaah
2026-11-07 18:34:14
0
user65006282903140
caroh :
mbona morogoro mtu kukutwa amefariki adi ameoza imekuw ni kitu cha kujirudia???
2026-11-08 08:24:25
0
To see more videos from user @tbc2_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About