ukiskia kuloga mpaka dunia igeuke ni mimi kuskia mtoto akae na baba ake😂
2026-11-22 14:32:03
2
Sussan leonard ❤️ :
Mwanangu hakai na mtu aiseeeee mwanangu hakai na mtu mahakaman navyochanwa mm thetre walikuepo oyaaaaaa uwiiiiiiii
2026-11-07 18:00:20
31
LOVE 💕 :
Nilimpa mzazi mwenzangu watoto miaka miwili tu kwa kumpima je ana weza kuwaangalia. MUNGU wangu siku naenda akuwapikea kuja likizo nililia sana watoto kama wametapikwa wamezoofu wanamagonjwa kibao siwezi sahau sasa hivi watoto wangu hawaendi popote na hawataki kuskia habari za kwenda kwa baba yao 😭😭😭
2026-11-22 13:47:51
1
Mbossokhan girl♥️ :
Ata BIBLIA imesema mwanaume alieikataa FAMILIA YAKE ameikana IMANI yake kwanza MBINGUNI mpaka DUNIANI hivyo AMELAANIWA,Kwanini LAANA igeuzwe kuwa BARAKA??? Na piah lazima mjiulize alikuwa wapi kipindi chote aje kudai mtoto akati amekuaaa?? na sio kwamba wanakuwa hawapo wanakuwepo Tena wengine wanashirikiana na ndugu zao ili mtoto asipate huduma alafu akikua ndo ajifanye anamjua mtoto Jamani iyo KATIBA iangalieni vizuri Kwa upande wa pili,,Kwa upande wangu Kuna Mtu Aombee sana anikute NIMEKUFA SI Kwa UHAI wangu,,na namuombea Kwa MUNGU Aishi cku nyingi🙏🙏🙏
2026-11-21 22:37:56
2
Almas Kilongola :
nimemlea mwanangu toka namwaka mmoja na miezi 3 adi leo anamiyaka nane mama yake alikua anapuyanga nadunia uko
2026-11-07 17:23:16
30
Christian Nangi🇹🇿 :
wakili umeolewa?
2026-11-07 15:19:31
9
MARQUEASY :
kwaio kukaa na baba lazima kue na ushaid ila kukaa kwa mama hakuna ushaidi???
2026-11-07 16:23:29
5
_*edy :
the way i feel no way 2 present but i appreciate
2026-11-18 09:28:06
1
SAUDA OUTFIT👗👖👚 :
mim ata akiwa na mwaka1 nmeachana na baba akee naacha sitakii mambo mengi mim
siku hizi wanawake wanatelekeza watoto.mfano uko kwangu,mke wangu aliniachia mtoto wa mwaka Mmoja na nusu akaenda kudanga kwa shinikizo la wazazi wake
2026-11-07 13:13:39
9
fandi :
mimi wangu mpaka aolewe ndio ataenda😏😏😏😏
2026-11-08 05:14:20
7
chrissmartinpaul :
je kama hamna ndoa akifikisha mdaa huo inakuaje apo jaman
2026-11-09 12:27:18
0
IKRAM MUSSA :
mimi binafsi wa kwangu nimeamua wakae na mama yao kutoka mazingira yng kazi mimi nipo nairobi wao wako tanga na huku niko peke yng nikisafiri inakuwa mtihani
2026-11-08 10:54:14
0
habiboy jr :
sasa naomba Muongozo ikiwa flora ni mke wa John ambae wana familia ya watoto 3 kisha akachepuka na issa akabeba ujauzito akiwa bado kwenye ndoa akazaa mtoto mume wa ndoa akiwa ndiye mwenye majina rasmi kuanzia clinic mpaka kwenye cheti je sheria inaweza kutoa huyo mtoto kwa John na Flora na kumpa Issa
2026-11-08 04:14:53
0
user7901613744448 :
wewe wewe mtoto wangu hakai na kinyamkera chochote, napambana nae mwenyewe
2026-11-08 16:52:38
0
milca :
wew yaan aikatae mimba niangaike pke yngu et leoo aje anataka mtoto wenda sna akir nzur
2026-11-11 05:28:35
0
ELIKANA FUNDI MAJUMBA :
mwaka 2 huu nakaa na wanangu vizuri mmoja miaka5 na mwngine 10 mama yao anazurula madogo wanaenjoy na uwepo wa baba
2026-11-09 04:48:07
4
Mbossokhan girl♥️ :
SAMAHANI KIONGOZI mtoto MSIMFANANISHE NA VITU VYA ajabu nawaombeni,
2026-11-21 22:28:42
1
Emmanueli Sisto Lusambo :
somo zuri Jamii ina mambo mengi
2026-11-21 08:14:55
1
POP C KAY :
Mungu anisamehe maamuzi ntakayo chukua ni magumu sana mtu kuchukua mtoto wangu kipindi naangaika iyo mahakama mbona haikunisaidia.
2026-11-09 08:36:51
1
Keita Osama Qatara :
kaja tena mtaalam wetu
2026-11-19 23:28:28
1
SIMBA_STAR🌟 :
mimi nina watoto saba wote wapo chini ya miaka saba,nimesusiwa na mama zao, nawalea mwenyewe hapa wanakula balaaa😂😂😂
2026-11-08 08:23:27
0
Neema ya Mungu Inatosha :
Mimi wangu mkubwa anamika 28 mdogo 16 hakuna anayeenda kwa Baba niponao mpaka waoe ndipo wataenda kwa baba yao
2026-11-08 12:56:12
0
Catherine Makungu :
wangu naishi nao mpaka watakapo amuq wao wenyewe kwenda kwao ni zaidi ya 7 sasa🤣
2026-11-20 20:34:14
1
Edgar Simbamkali :
kwani huyu dada anapatikana wapi?
2026-11-09 19:25:20
1
To see more videos from user @fifilorah, please go to the Tikwm
homepage.