@trtafrikasw: Seneti ya Paraguay ilimuondoa madarakani Rais Santiago Pena ambaye sasa anazuiliwa nyumbani kwake akikabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi. Hii ni baada ya Benki ya kidijitali ya Ueno iliyohusishwa na Pena kuzama na fedha za zaidi ya watu milioni tatu nchini Paraguay. Nafasi ya urais ya nchi hiyo imechukuliwa na aliyekuwa Makamu wa Rais, Pedro Alliana aliyeapishwa siku ya Ijumaa, Novemba 6.
TRT Afrika Swahili
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 11:02:10 GMT
Music
Download
Comments
Upepo Stephano :
naomba number ya Mwenye crdb
2026-11-07 11:08:04
255
⚠️T.O.X.I.C☣️ :
CRDB is comming soon
2026-11-07 17:40:32
10
E.Ilomo_ :
assume ya benki ya kijani imefirisika
2026-11-07 13:30:08
52
madam English :
imezama vpi imedidimia au kuzama?
2026-11-07 12:29:20
91
SNOW :
Mim zangu ndo nazitafuna hapa
2026-11-07 12:05:00
35
Ťěě🌺 :
usiweke pesa bank moja au kwenda mtandao mmoja tawanya tawanya
2026-11-07 13:13:08
36
A+S+S🇰🇪📍 :
How safe is our money in kenya
2026-11-07 20:12:51
1
Daddies little girl😍 :
This problem happened in Lebanon 2021🙄 unaenda Bank hakuna pesa 😁
2026-11-07 21:02:37
0
KisinzagloryMartha :
unalaa unaamka huna ela OOH GOD
2026-11-08 11:01:36
1
It's♤♡♡ :
Najua TZ hii watailipa ngoja nikatoe pesa mm uwiiiii
2026-11-07 13:27:14
24
Mama D :
CRDB bank wateja typing hoping this doesnt happen in Tanzania
2026-11-08 04:11:46
0
IMANI Beauty Bar :
this a cyber attack
2026-11-08 08:16:32
0
bosset57 :
Haina branch? Huwez tuma Mpesa kwa simu na utoe? Sikuelewi
2026-11-07 12:43:39
8
Asiyah_othman :
wanatutengenezea mazingira ya hofu ili tuone ni sawa ule mpango wao wa kuwekewa cheap ndio iwe njia salama
2026-11-07 12:57:07
18
trustcarental :
Kwani iyo bank ilikuwa na tawi moja tu nchi nzima
2026-11-08 06:36:21
2
G.🍂 :
kuna benki nataman kuitaja ila sina mwanasheria
2026-11-07 13:31:55
16
Riri :
mhhh Crdb ikifilisika kwisha mimi😭😂
2026-11-08 05:08:52
5
#mbishiJ :
akili yangu ilikua mbali sana nlijua imebomoka kumbe ni bank imefilisika[Teary eyed][Tears of joy]
2026-11-07 20:39:26
6
Negow❤️🦋 :
Nitoe laki mbili zangu NMB
2026-11-07 12:44:49
6
Obby michael :
weka kwenye laini ya simu Airtel money ,m-pesa au mix by yas
2026-11-07 21:15:23
2
lightness🦋 :
mimi siwapendi binadamu jmn😏😂
2026-11-08 10:02:00
1
MY WAY🐸 :
bado crdb sio muda itapita na vi utajiri vyetu😅
2026-11-08 06:08:15
2
Greg Russell :
sasa mbona NMB walikata wiki nzima
2026-11-07 20:41:39
1
Mayra_Itinerary_Designer🇹🇿 :
NBC wasione hii naweza kuaga dunia kabisa 😂
2026-11-07 19:45:03
2
Michael :
mm ndio maana laki yangu niliweka crdb kila siku napitia pale isije ikazma buree
2026-11-07 20:21:03
1
To see more videos from user @trtafrikasw, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.