Kama mama kaamua kusema nakaa na mwanangu mwenyewe,
2026-11-07 18:04:20
2
AGTDGM🦅🇹🇿 :
kuna haja ya sheria kufanyiwa mabadiliko
2026-11-08 05:21:24
2
Jane&gigiz :
Sheria hii ni maneno tu hamna utekelezaji kabisa
2026-11-07 18:10:35
17
SMALL U S A MAWOZO :
nina miaka 24 nina watoto 5 naishinao mwenyewe kila mtoto na mama yake mbn sijaona mama zao wawatunze kwa mwaka mala moja tena analeta nguo ila nawapenda sina ugomvi na wao🥰
2026-11-08 06:46:26
0
David Myalle :
Kwahyo Baba ana Uwezo wa Kuwachukua Watoto ?
2026-11-07 20:18:16
0
nihla's mom❤️🦋backup :
ILA JAMANI HAYA MAMBO KUNA MUDA UNAMUACHA TU
2026-11-07 20:11:54
2
OLE KOYIE :
mh naomba namba yako nina mdogo wangu wa kike mume haeleweki
2026-11-07 17:12:27
3
Kiwele Joseph 🇹🇿 :
hiyo sheria ni kabla au baada ya haki sawa
2026-11-08 00:18:36
0
Zawadi Mlosa :
kama hatujaowana Sasa tumezaa tu
2026-11-07 18:08:47
1
Fredrick Raphael :
Kama mama hataki huduma za baba?
2026-11-07 19:32:32
1
user6528235855169 :
mbona mm mwanaume yupo lakini hatakikuhudumia watt vp hii imekaaje halufu ukimpeleka kwenye Shelia nianjeuli hatali hii naomba mnisaidie
2026-11-08 04:41:16
0
Benchazzy :
sasa yule wakwangu et kama nataka atunze mtoto lazma aje kwangu mh!
2026-11-07 20:07:10
1
Elijah heche :
Mimi sjafaliki ila ntakua sjulikani nilipo sasa tuone itakuaje
2026-11-08 05:40:34
1
Doree :
mimi wangu kakataa kutoa hata mia watoto watatu na nimfanyakazi wa serikali, na tuna ndoa ya miaka 18. ila tumetengana sasa hivi miaka miwili hatoi hata buku
2026-11-07 19:42:26
0
Malley Bura :
kifungu lazima itaje kiasi Cha fedha Cha kumtunza maana simtunzi mwanamke. wanaawake wengine wanataka had million Kwa mwezi Ili yy afaidi. Sheria itaje kiwango Kwa wote siyo inategemeana na kipato
2026-11-07 19:44:42
0
sobboman :
mbona sasa mnapenda kung'ang'ania kubaki na watoto hlf tuwape hela ya matunzo
2026-11-07 20:11:21
2
Zawadi Mlosa :
we dada naomba namba zako tuongee vizuri maana mm amemkataa amesema sio damu yake wala hana uhakika kama ni mtoto wake je anahaki ya kulea mtoto kama kutakuwepo na vithibitisho vya kukataa
2026-11-07 18:10:30
0
amakanjithomas :
Tunawatunza lakini hataki tuwaone tunaowatunza jamani..
2026-11-07 16:15:21
3
Lega Nyopu :
Naomba namba zako
2026-11-07 20:30:13
0
Father & Son :
Yani mimi wakutumeachana na nalele mtoto wangu mwenywe kwasababu mama yake hajielewi
2026-11-07 20:51:47
1
Pantaleo Mgallah :
wakili kama wakili
2026-11-07 18:45:03
1
Baba :
kisheria kwa sasa mnasaidia sana Mungu awabariki sana
2026-11-07 17:51:03
1
MWAP BOY :
dada unapatikana wap
2026-11-08 07:05:26
0
mathayomichael8 :
sheria isiyo na usawa
2026-11-07 17:31:34
0
To see more videos from user @fifilorah, please go to the Tikwm
homepage.