@mkakamweus2: Mwanaume mmoja nchini Ivory Coast alitumia miaka 14 akilipa kodi ya nyumba, bila kufahamu kwamba mwenye nyumba aliyokuwa akiishi alikuwa mke wake mwenyewe. Mwanaume huyo amelia kwa uchungu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye aliyekuwa akimiliki nyumba hiyo katika kipindi chote walichoishi pamoja. Mwansume pia amedai kuwa amekuwa akipambana sana kulea familia hiyo huku akisema kipindi ambacho amechelewa kupata pesa ya kulipa kodi mkewe alikuwa akimshauri kimahaba kuwa ataenda kukopa kwao ila hiyo pesa akipata atampa awarudishie. Mwanaume huyo mwenye familia ya watoto watano ame huzunisha wengi mtandaoni huku watu wengi wakiomba mamlaka za ivory coast itafute namna ya kumsaidia Je, wewe ungefanya nini kama ungegundua kuwa umekuwa ukimlipa kodi mke wako kwa miaka 14 bila kujua? #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights