@eessagogo92:

EesaG
EesaG
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 11:21:37 GMT
54737
5380
84
814

Music

Download

Comments

mwarabu48
MR HANDSOME🥰🥰 :
allah nijalie niwe mja wako peponi
2026-11-08 12:05:38
8
aboubakarbakhty
B U S H R A 💫🫦 :
“Huenda siku moja nisiwepo hapa, lakini maoni yangu yataendelea kuwepo, na vizazi vijavyo vitayasoma. Hivyo nashuhudia kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah, na Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake) ni mjumbe wa Allah ❤️. Yeyote atakayesoma hili, tafadhali uwe shahidi wangu Siku ambayo tutasimamishwa mbele ya Mola wetu. In shaa Allah. Mwenyezi Mungu atusamehe madhambi yetu, Ameen.”
2026-11-08 15:15:28
12
nasrivida
Nasri Life :
Mola wetu atujaalie na atufanyie wepesi kwa yale yote aliyotuamrishia 🤲🏾
2026-11-08 04:08:25
17
ysar773
🦋@ysar🦋 :
Allah atunusur na kujisahau kwa kuletwa kwetu 🤲🤲
2026-11-09 17:36:47
1
nadya.013
🦋it’s nachi🦋 :
Mwenyezi mungu tuongoze kweny njia sahiii alhumaa ameen🥰🥰🥰
2026-11-07 23:01:42
5
yasini.ngayama
Yasini Ngayama :
mwezimungu atufungue tuwe wenye kukumbuka yamwenyeezimungu
2026-11-08 05:57:57
2
user1360025623928
ALHAMDULILLAH :
Mashaallah darsa mzuri Sana. Shukran. Lakini huo mziki unakera Sana. Pole kama nimekosa
2026-11-08 04:17:43
0
user7103840741117
salha Ayub :
subuhan allah alhah atupe mwisho mwema wallahi
2026-11-09 05:25:53
1
cantarayusuph
Real_de_cantara :
mwenyez mungu atupe mwisho mwem Ameen😭😭🙏🙏🙏
2026-11-07 22:52:24
4
aishaabdu281
Aisha Abdu :
Allah atujalie tuweze kuyazingatiaa hayaaa🤲
2026-11-08 19:01:35
2
baraka9429
Baraka :
mungu atujaalie mwisho mwema na wenye kumfanyia mema
2026-11-08 15:37:12
2
akshaz5
akshaz :
takbri
2026-11-08 06:24:51
2
sangaclatus17
akaminko :
allah
2026-11-08 16:07:12
2
maalim.bazzar
maalim bazzar :
يا الله بها يا الله بها يا الله بحسن الخاتم
2026-11-09 11:21:40
1
hodihodi82
Hodihodi :
👌👌Barakallaufik Sheikh 🥰
2026-11-08 16:54:28
1
code5209
spatar :
Allah huakbar
2026-11-08 06:36:25
1
azia6504
azia :
subhan
2026-11-08 16:49:42
1
mshana1057
Mshana perfume ✨️ :
subhanallah
2026-11-08 10:41:15
1
ramadhankainama
Ramadhan Kainama :
ewe mungu nijalie nipe mwisho mwema amin amin
2026-11-07 18:25:28
2
userrassifeeling
Rassi Feeling :
mungu atupe uzingatio na kujitasimin kwa hayo
2026-11-08 19:37:19
1
aithar26
Aysar 26 :
Allah atuepushe kuwa miungoni mwawatu wenye sifa hiizi atujalie tujirekebishe inshallah
2026-11-08 05:56:13
1
juma.namdanga
Juma Namdang'a :
Allah atupatie mwiaho mwema amiin
2026-11-07 17:28:27
1
allyissa_jr
allyissa_og :
mwezi miungu atuifadhi🙏
2026-11-08 04:40:45
1
jaldesabig
j d 14 :
kutulia duniani inamaanisha nini?
2026-11-08 19:47:44
0
tiktok.comsarah58
Sarah :
Sasa huo mziki unamaana gani??
2026-11-08 06:45:56
0
To see more videos from user @eessagogo92, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About