@mkakamweus2: Mwanaume mmoja nchini Ivory Coast alitumia miaka 14 akilipa kodi ya nyumba, bila kufahamu kwamba mwenye nyumba aliyokuwa akiishi alikuwa mke wake mwenyewe. ​Mwanaume huyo amelia kwa uchungu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye aliyekuwa akimiliki nyumba hiyo katika kipindi chote walichoishi pamoja. Mwansume pia amedai kuwa amekuwa akipambana sana kulea familia hiyo huku akisema kipindi ambacho amechelewa kupata pesa ya kulipa kodi mkewe alikuwa akimshauri kimahaba kuwa ataenda kukopa kwao ila hiyo pesa akipata atampa awarudishie. Mwanaume huyo mwenye familia ya watoto watano ame huzunisha wengi mtandaoni huku watu wengi wakiomba mamlaka za ivory coast itafute namna ya kumsaidia ​Je, wewe ungefanya nini kama ungegundua kuwa umekuwa ukimlipa kodi mke wako kwa miaka 14 bila kujua? #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

mkakamweusi2
mkakamweusi2
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 11:39:30 GMT
186545
8523
537
603

Music

Download

Comments

quinter24608
The Queen herself :
we need to celebrate this woman ama vipi
2026-11-07 13:22:25
103
kasaseswalehe
Kasase Swalehe :
sasa inaumaje wakati hajajenga yeye, nachoka mimi 🤣🤣
2026-11-07 11:50:19
155
faithjohn501
faithjohn501 toto :
my dear lipa rent akuna Cha bure
2026-11-07 13:19:14
22
user76247316562097
user76247316562097 :
mmh kma unamichepuko kwa nin usilipe Kodi
2026-11-07 12:50:37
6
user3677661181800
madam Maroon💖 :
kwani kulipa kodi kuna shida gani si aliamua amepanga nyumba .
2026-11-07 12:26:48
48
doreen07575
Doreen07 :
hahaahaah pole san
2026-11-07 15:06:50
0
rodgersstephene
Mr.ØĜ😎🤏 :
let me stay calm and quiet coz i see people start becoming what they laughed at
2026-11-07 14:39:31
1
almiskir
Baby yaa :
kwani Angelipanga kwa mtu mwengine asinge Lipa kodi hiyo nibiashara kama biashara nyengine hata mm namlipisha vzr tuu
2026-11-07 13:10:55
21
kuya.pendo7
Kuya Pendo :
u represent us well my sister 😂😂😂
2026-11-07 12:37:38
8
mary.talia24
Mary Talia :
sharp girl one off a kind
2026-11-07 13:53:01
1
treeza.milan
Treezah,♥️🩷🤍🩶🖤 :
👋👋👋👋👋👏👏👏👏👏👏👏👏sharp girl
2026-11-07 13:47:48
1
dangwamalemagmail.com
@dorine A Malema :
sasa kulipa rent ni kitu ya kulia
2026-11-07 14:02:08
3
charlottesaula75
CharlotteSaula 🥼 🩺❤️ :
SHARP WOMAN 💪💪🥰🥰 we're proud of you 💪
2026-11-07 14:49:22
0
braisonmussa
twangaa23 :
lady is first
2026-11-07 13:28:32
0
user2353118515496
user2353118515496 :
kwanza mijanaume mingin haitaki ht ushaur Yan nikifanikwa ht kibanda chaudong kaz anay
2026-11-07 13:20:54
5
user47744536268083
user Ashah tamba :
Sasa mlitaka akae bure wanawake tunaweza👍
2026-11-07 14:49:38
4
benith.ally
Benith Ally :
kinacho mliza ni nn sasa ko alitaka aishi bure au
2026-11-07 12:34:42
9
anna.tabea6
It’s Tabea ❣️ :
Mama upewe maua yako 🥰👏🙌😆
2026-11-07 13:49:59
3
lix.one7
lix😘 :
2026-11-07 13:47:07
1
user7423716192888
JAMES SAMWEL :
mwanaume akiliya juwa kuna jambo inauma sana😭😭😭😭
2026-11-07 13:58:16
0
singlegal63
[peacefully girl] :
sharp girl
2026-11-07 13:23:53
1
rozzy.kenya
Rozzy Kenya :
polee
2026-11-07 13:51:42
1
serahwanjirumwaki
Serah wanjiru Mwakia :
sielewi alikua anathania ni girl Fred anlipia ama kunaeda aje
2026-11-07 14:31:54
0
machozi.lambele
Machozi Lambele :
mimi nimecheka mpaka nimejikojoleya
2026-11-07 13:55:21
4
renista.uisso
official Reny💞 :
😅😅ahaha wew ata mim ninampango wakujenga nakumpangisha mume wangu kwasababu ajui nilijenga veep😅
2026-11-07 13:52:44
3
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About