@hafisaymalonitiss:

Hafisa Y Maloni
Hafisa Y Maloni
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 11:39:39 GMT
73236
5438
103
198

Music

Download

Comments

kakaa.great.tz
KAKA'A great Tz 👍 :
apo ni binadamu kwa binadamu tunauwqna kwa tamaaa za vitu vya duniani daah
2026-11-08 05:15:50
6
ayomahussein447
Ayoma [email protected] :
mungu awasaidie ndugu zetu
2026-11-07 18:01:22
2
mwita610
mwita :
kuna mambo tunampa Mungu wakati NI tamaa ndizo zinaleta mauaji, mnaleta video za vita ili kutisha waambie watawala waache tamaa ya mali
2026-11-08 04:27:37
5
private.education
private education :
tatizo ambaro ripo Kongo ni tatzo dogo sana.mataifa mengi ya kiafrca matatizo Aya yanatokana na watawala kutojitambua na uwezi wa fikila.Africa sio maskni bari mabeberu ndo tatizo ktk bara Ra Africa.
2026-11-08 02:06:27
1
vumilia.michael
Vumilia Michael :
nimesikia uchungu sana eee Mungu wa rehema nakuomba irehemu inchi ya congo warejeshee amani ndg zetu wanateseka Mungu Tunaomba wahurumie😭😭
2026-11-07 20:54:39
3
emmanuelsimon8161
mbugutz🇹🇿 :
maisha wanayoishi wenzetu ni magumu sana
2026-11-08 06:29:24
1
mukkijabbu
mukkijabu :
uwezi kutunza Amani pasipo na haki
2026-11-08 06:05:27
3
dottoabdallah137
Dotto Abdallah :
madini yenu yamewaponza na kuwa na viongozi wasalit pumzika kwa aman mamaduu Mustafa ndala🙏
2026-11-08 04:45:55
3
pennypaul79
Ninah Osborn :
amani ipi uliyonayo?
2026-11-08 08:12:33
0
mwandunga2003
Miss Mwandunga❤️ :
Rest in peace soldier😭
2026-11-08 06:24:53
0
finadanielfinadan
lady fina :
mungu tupe mwisho mwema kuliko mwanzo
2026-11-08 05:27:06
1
farajimuhamad
Sniper +256 :
Niukweli comrades
2026-11-08 08:50:24
0
user8401683763798
Rambo msobwe :
hilo tatizo linatokana na siasa mbaya zilizopo kongo , ,kongo nchi zuri sana imebalikiwa kua na madinimengi ila siasa za kitapeli na vichwa vibovu vya viongoz wa kongo ndo wanasababisha haya
2026-11-08 04:17:02
1
user3746214971574
user3746214971574 :
wanao sqbabisha nchi iingie kwenye vita ni viongoz wakubwa na cyo raia, raia akiteswa na akisema Sasa inatosha na liwalo na liwe matokeo yake ndo hayo
2026-11-08 05:08:03
1
mpongo.lixxo
mpongo lixxo :
fungus was aiding waking Japanese amani🥰
2026-11-08 08:08:35
0
satwine001
Satwine@001 :
[Power][Power][Power] Bila kuchoka dua nyingi
2026-11-07 18:56:21
1
malwa3893
Mchuma African tz +255 :
asente kaka pambania
2026-11-07 20:45:48
1
sajadikamala
Sajadi :
much respect
2026-11-08 04:03:37
0
nolasindio
Nolasi Ndio :
uyu n soldiel wa kwel salut
2026-11-07 20:06:23
1
petrmarko5
petrmarko478 :
hv kuna haja gani ya kufulahia kuishi dunian aliyakuwa ndugu zetu wanakufa kila siku naumia sana mimi ila ipo siku
2026-11-07 18:10:15
1
jumaomari93
jumaomari93 :
Daah Amani ni kitubora Sana mwenyez mungu awape Amani watu wa DRC Insha ALLAH
2026-11-07 18:16:27
1
jons.sumson
Jons Sumson :
mzee magari siku izi upo huku🤣
2026-11-08 12:51:35
0
user4926796808252
ramadhani :
kuna vitu vilifanyika mpaka wakafika huko walipo fika🙏🙏🙏
2026-11-08 17:27:57
0
sadick.idrissa4
sadick idrissa :
wenye amani ni wale wanao uwa watu na hawakamatwi wanaiba pesa za taifa kila lipot ya s i g na hawakamatwi wanao leta magali na mali zao bila ushulu wana foc ukumu waki wanajua muukumiwa ana kosa
2026-11-08 14:00:27
0
user2872073577057
P MAPESA :
noma sio maishaa
2026-11-08 16:08:03
0
To see more videos from user @hafisaymalonitiss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About