@radiomariatanzania: MAFANIKIO YA MTU MWINGINE HAYAMAANISHI KUWA WEWE UMESHINDWA - Video ni sehemu ya Mafundisho ya Padre Prosper Kessy wakati wa Bonanza la Umoja la Wanawake wa Makanisa ya Kikristo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Je wajua unaweza kusikiliza Radio Maria Tanzania kupitia Radio Maria Play App popote ulipo kwa kutumia Bando kidogo tu...? Ndio ni rahisi sana, Pakua App kwa kubofya hapa kwa watumiaji wa Android: https://www.rmplay.org/download_App Na kwa watumiaje wa Iphone: https://apps.apple.com/app/id848153139 Furahia Radio Maria popote ulipo www.radiomaria.co.tz #KapulaMama2026 #Upendoniushindi