@uhondo.tv: Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Sigrada Mligo, ameahirisha mkutano wake na wanahabari uliolenga kuchambua ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akisema Watanzania bado wana maumivu kufuatia hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Mligo amesema kufanya mkutano huo kwa wakati huu kungekuwa ni kuwaongezea maumivu Watanzania, licha ya ripoti ya CAG kuweka wazi kile alichokiita ubadhirifu mkubwa. Akizungumzia hukumu ya Lissu, Mligo amesema kilichotokea ni uonevu dhidi ya kiongozi huyo wa upinzani na kudhalilisha taaluma ya sheria. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 12:11:30 GMT
24026
1044
87
44

Music

Download

Comments

norbertisaack
warthog444 :
Lisu amekwenda magereza kwa kusudi la Mungu atawasaidia wengi kule kisha baada ya mda mfupi atarudi kuwa Raisi wa Jumhuru ya Muungano ya Tz
2026-11-07 12:45:47
43
jupter3348
jupter :
mi nimesoma sheria aisee mpaka naona aibu mimi
2026-11-07 13:06:33
14
zubedamauridi357
Zubeda Mauridi :
kweli kabisa umeongea point safi tungepata watu kma wewe
2026-11-07 13:26:05
9
user3739095804618
ma g 3 :
nakuombea kwa mungu wasikuteke dad
2026-11-07 13:20:49
9
caliphtaylorgang
Caliph Taylor Gang :
SHANGAZII WA TAIFA TUKO PAMOJA NA WEWE
2026-11-07 13:52:24
4
lenijuli0
lenijulius19 :
Namshukuru mungu kumjua lissu ,maana katika wakati huu nimeijua Sheria kidogo Kwa sababu yake , nimezijua Sheria bila kwenda shule nimejua kudai haki
2026-11-07 13:12:38
3
pardon.patrick
@patrick pardon :
kweli nmekuelewa sana huyu dada
2026-11-07 13:42:54
3
user1435930029744
user1435930029744 :
sigrda❤️so much 🤛
2026-11-07 14:09:36
0
freank.wiliam
Freank Wiliam :
asante dada tunakuerewa vizuri enderea kutupa erimu
2026-11-07 13:41:01
2
saidimangorosho
saidimangorosho :
wafungeni na wale wafuja mali za umma watu hatuna hata maji Wala Barbara za mitaani ni tope TU .Ila lissu kashikiliwa bango Kwa Nini?
2026-11-07 12:53:26
2
emeldarmatikiti
emeldarmatikiti :
Madam Mungu akupe maisha marefu , umeongea Kwa uchungu mno ila nimekuelewa sana
2026-11-07 13:45:23
2
user7920162107299
mnyama wa vita :
dada nakukubali
2026-11-07 12:43:31
5
user23667631900171
user23667631900171 :
Nikweli dada lakini kwabahati mbaya Tanzania mahakama niaibu tupu
2026-11-07 13:12:27
2
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
#Free TUNDU ANTPASS LISSU
2026-11-07 13:54:37
1
lukanda.official8
Lukanda official :
nimekusililixa umeongea point had nimejikuta natokwa na machozi
2026-11-07 13:51:58
1
jiga_parker
Parker06 :
umefafanua vzr hata kichw maji nmekuelew ila hii nchi ngumu sana😓😞😞
2026-11-07 14:11:07
2
halima.rashid8
Halima Rashid :
nakupenda sana madam
2026-11-07 13:08:58
2
kimolo.jr
kimolo jr :
kweli dada yangu watanzani tunaumia sana haki hakuna Tanzania hata huruma ya mungu hawana mungu atalipiza tyu Kwa wote waliyo muhukumu lisu yatawakuta tyu mungu anaona Kila kitu atawajibu tyu
2026-11-07 13:09:17
1
user5285115344940
0684835015 :
wambie
2026-11-07 12:34:13
1
agythebos
linah💃🥀 :
Mimi nimekupata na nimekuelewa vzuriii madam
2026-11-07 13:31:44
1
tanganyika.yangu.k
MAD MAX😡😡 :
nakupenda sanaa SIGRADA mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele 🙏🙏. hua na kufananisha na AMINA CHIFUPA
2026-11-07 13:16:09
1
salemclean
Freeman🌴🗽 :
Sitaki Kusema Taaluma ya Sheria Imebakwa, Nyie Wenyewe Mtaamua🤣
2026-11-07 13:47:56
0
maishanivita
mwakimtha mbilinyiamigo329@gma :
Dada mungu akubaliki uludi nyumbani
2026-11-07 12:31:42
1
lucia.mgalla
Lucia Mgalla :
Dah, 😭😭😭😭🙆‍♂️
2026-11-07 14:30:01
0
agnesimwanyika6
bg bos :
Singilada nakupenda sana
2026-11-07 14:24:40
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About