@mr.uyoooooh: Baada ya ukimya wa muda mrefu, RANGE VOICE nimerudi tena! 🔥❤️ Safari hii amekuja na simulizi ya mapenzi kupitia wimbo wangu mpya unaoitwa ZEZE.💔Je, umewahi kumpenda mtu mpaka ukajiuliza kama naye anaumia kama unavyoumia wewe? Sasa ni wakati wa kuisikiliza ZEZE na kuonya #ZEZECHALLENGE1 Karibu kwenye challenge, tushirikiane kuifanya ZEZE ivume! 🚀🔥 #rangevoice #zeze #creatorsearchinsights #createsightinsight @Vidoboy.com @Zack Moris @SINGELI TRENDING 🎶 @SINGELI KITAA @SINGELI REVOLUTION @SingeliMedia @PENI YA SINGELI