@khairiyyatvtanga: MAARIF KUMEKUUCHA,UST ABDULHALIIM APOKEA UGENI MZITO HIVI PUNDE KUTOKEA ZANZIBAR,HAULI YA SHEIKH MUHAMMAD ABUUBAKARI AL"BURHAN KUANZA LEO NOV 07* Tazama Video Juu Ni Mapokezi Ya Ugeni Wa Dhikr Kutokea Zanzibar Ambapo Usiku Wa Leo Nov 07 Watakesha Kuamkia Kesho Nov 8 Kilele Cha Dua (Hauli) Ya Sheikh Muhammad Abubakari Al-Burhan Hauli Ya Mwaka Huu 2026 Inatimiza Miaka 10 ya Kuasisiwa Kwa Hauli Hizi Ikiwa ni Sehemu Ya Kumkumbuka Muasisi Hayo Pamoja Na Ndugu Zake Mpaka Sasa Wageni Mbalimbali Kutokea Ndani Ya Tanzania Na Nje Wameanza Kuwasili Ambapo Kesho Katika Viwanja Vya Mahd Shamsil Maarif Kutakua Hapatoshi Kwa Ugeni Mzito Zaidi Timu Za Waandishi Wa habari wa Yaa Salam Tv,Aywa Tv,Parungu Tv,Abuu Othman Tv,Jua la Elimu Tv,Shamsil.Maarif Tv,Khairiyya Online TV Na Nyingine Kibao Tayari Wapo Kazini Kukusogezea Kwa Karibu Matukio Haya Makubwa Ili Uwe Wa kwanza Hakikisha Umegusa Alama Ya Neno Subscribe katika channel yetu ya @KHAIRIYYAONLINETV na Nyinginezo Kwa Taarifa Za Haraka Pia Jiunge na Magroup Yetu ya Wasap kwa Namba 0622 166 959 Ili Uwe Wa Kwanza Kupata Taarifa Zetu *MIAKA 10 HAULI YA SHEIKH MUHAMMAD ABUUBAKARI AL"BURHAN NA NDUGU ZAKE,MAARIF HAPATOSHI Nyote Mnakaribishwa
Khairiyya online Tv
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 12:37:21 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @khairiyyatvtanga, please go to the Tikwm
homepage.