@last_born_fans_022: KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA HAPA KWA WANANDOA.... #mke #mume #lastborn

Second Last Born
Second Last Born
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 12:38:16 GMT
92000
3689
533
903

Music

Download

Comments

kimariogifty12tz
smile 🤗✌️ :
😂😂😂😂 Yani anamakosa lakini Bado analalamika
2026-11-08 04:51:06
29
mligocomedy
Jackson :
Huyu ni kiongozi wa Wanaume sasa
2026-11-08 03:15:54
153
mrvikingtz
Mr Viking :
Dada wa kazi muda huu 😅😂😂
2026-11-08 05:37:16
63
giftbop
John Johnson :
tumpandishe cheo mwenyekit wetu huyu kabsa kama vp awe rais wetu kabsaa ametuwakilisha vyema hatuna chakupoteza now days tupo nje ya mda [Starstruck][Starstruck]
2026-11-08 05:24:30
61
jaywarhymes255
J :
Madada wa kazi ni watam haki ya mungu😁
2026-11-08 03:54:23
72
mustafasureboy
Mustafa sureboy🇲🇿🇹🇿 :
uyuu ndo mwenyekiti wetu ss 🤣🤣
2026-11-08 05:16:33
35
flaviustz
FRABIUS EXAVERY :
yupo sahihi mwambaa
2026-11-08 08:09:48
5
alex.jumanne1
Alex Jumanne :
yupo bize na saivi yupo anatusikilizisha TikTok
2026-11-07 22:46:34
90
bebrina14
bebrina🤍 :
mwanaume anaakili sana
2026-11-08 03:59:35
84
seif.khaan
Seif khaan :
katuwakilisha vyema mwenetu📌🔨
2026-11-07 23:29:24
38
jullieth_7
Janelle :
ariondoa upwiru kwanza mim MUNGU anipe mwanaume kama huyu
2026-11-08 08:05:24
5
toxicollic
UNKNOWN :
watoto wa mjini wanasema upwiruuu
2026-11-08 05:17:57
21
ayshery_mohammed
Ayshery Hatun🧕🧕🧕 :
jaman hapa mm mwenyewe nmejifunza wallah
2026-11-08 06:34:11
11
quanistore
quan store :
my wife nakutakia asubuh njema acha nifanye kazi za watu 😂😂😂
2026-11-08 07:27:40
8
rujainah36
Juju🦋 :
sina chakumtetea hyu dada kwa maelezo ya huyu baba
2026-11-08 07:26:55
6
user1432717149178
my martha :
akueleweshe nn sas apo ambacho uelew[Tears of joy]
2026-11-07 22:46:04
31
denteee3
dante :
uyu marafiki wanamponza 😂😂
2026-11-07 22:34:27
21
user5710437610788
king mswati.💯 :
dada wa kazi mitano tena
2026-11-08 04:42:55
20
fantasticbn2
fantastic bn :
mwanaume katuwakilisha vzuri saana😂
2026-11-08 04:59:33
16
emmanuel_paul09
Emma Mullano. 🎒 :
Kama ulisha mwambia na amekataa kujirekebisha Alex hauna baya kiongozi. 😅😁
2026-11-08 04:50:36
22
salmasamla952
Salma Samla :
chovya chovya wangu🤣🤣🤣🤣
2026-11-08 07:01:21
5
side_mnyama
Side_Mnyama🦁 :
mwanamke akishika Sim yangu na kunifatilia na muacha akatafute wakumfatilia. 😏😏
2026-11-08 03:40:51
19
happyimagination_21
Happy :
Alex one Dada yetu Zero.[Tears of joy] Shemeji umeweza bonge la fundisho...
2026-11-08 04:34:19
14
rudeboydee_
Mr. DSM :
Na Bado kesi imeletwa TikTok 😅
2026-11-08 05:08:33
11
To see more videos from user @last_born_fans_022, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About