@fifisugar:

Fiona Nkya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 12:55:36 GMT
21793
2215
108
191

Music

Download

Comments

hamidata28
hamidata28 :
tena hasa first born kuna mda moyo unavuja damu🥹💔
2026-11-07 14:00:21
20
sheisginnah2
GeeSweetheart❤️❤️ :
Mim ndo naenda kumtenga Mama yangu soon
2026-11-07 13:10:39
33
tasmalady
Tasmalady❤️ :
niongee Kwa kukaa au kusimama mama yangu jamani 😭
2026-11-07 13:45:04
9
itsshygirl0
Dianne :
Mama aliambiwa na pastor kuwa nimepanga kumuua, kwa sasa ni mwaa wa pili sina mahusiano naye
2026-11-07 14:10:52
2
emotionect
EmotioNect by Tasneem - 🧠 :
Kweliiiii kabisa 🥺🥺sadddd but hard truth
2026-11-07 14:28:06
0
edivan7221
Edivan :
kweli da Fify wazazi wetu ni wabinafsi wanathamini tunacholeta mezani hata hautaki kujua Hela umepata wapi binafs najisikia vibaya
2026-11-07 13:18:30
19
amina.isaa
Amina isaa :
asante fif🥰🥰
2026-11-07 14:30:08
0
the.only.princess95
the only princess :
Jaman fiona umesema jambo ambalo linanitafuna sana haswa sisi mafest born tunanyoywa sana
2026-11-07 13:56:40
10
user4937057218442
Neith💫💫🧚‍♀️ :
mm wanisamehe tu nisha wacutoff wote, yaan saivi niko mwenyewe kwenye maisha yangu n mm na Mungu basi & God is wonderful amehakikisha sikosi food wala shelter ☺️yaan am very happy this time
2026-11-07 13:49:15
6
user2984903510133
user2984903510133 :
This is so true!!!
2026-11-07 14:24:38
0
msloreta01_
msloreta01_ :
Wazazi wana tutraumatize hadi tunaona ni anasa kujipenda Mimi wangu nitawacutt off soon 💔💔
2026-11-07 14:15:03
0
really.model
really model💃💃 :
wazazi wangu mimi Mungu nitunzie tu🫂
2026-11-07 13:21:21
8
rebekakigoda11
rebekakigoda :
kwanza hakuna mtu namuamini kama mwanangu tuko bega kwa bega hadi kieleweke sijui kwasababu sikupata upendo wa wazazi wangu🥲 Mungu nifanye niwe mzazi mzr kwa wanangu 🙏🙏
2026-11-07 13:57:00
4
kyekue8129
Kyekue🌸 :
Me wangu nishamtenga nmechoka
2026-11-07 13:31:09
3
li0ness17
Telaviv :
I don't regret doing it
2026-11-07 13:59:25
0
lulu.cute07
lulu cute :
Wa kwanz leo ❤️❤️❤️
2026-11-07 12:58:47
4
roukhy01
Roukhy🤎 :
Wazazi wanaamini watu Baki kuliko watt ukisema sina pesa au kitu fulani nayy anasema nilikusomesh sijui nini nyie
2026-11-07 14:05:39
1
swamarkg.124
swamarkg 124 :
mimi wangu anakwambia nunua tu wewe ni mkubwa kuliko wao and mind you wao wapo stable kiuchumi than me
2026-11-07 14:02:58
1
winkelvin8
winkelvin :
2026-11-07 13:02:44
5
revaldokilawila
revaldo salelo :
so true
2026-11-07 13:19:03
2
alphajpowerjoy
Joycemary _PowerJoy :
Very powerful message dada 🥰👏👏
2026-11-07 13:27:50
4
catherinebanda902
Cathy-g :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭oooih God mbn hii nilihitaji muda san kuisikia kweny masikio yangu nipate tumain aisee aiseeee
2026-11-07 14:15:02
1
happynessmtunguja
Riaan's mom :
Nlkua napitia hayo kwa mama yangu mpk nmeamua kuacha kuwasiliana nae
2026-11-07 14:06:41
1
naswila1
Gracious Store01 :
🥹🥹🥹🥹Asante umenisemea mimi🙏🏻
2026-11-07 13:20:33
3
prisila.adrian.mv
prisilaadrianmvuk :
Mnipe mwezi niadisie yakwangu siku aitoshi😭😭
2026-11-07 13:58:34
1
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About