@jukwaa.la.maarifa: Dkt. Sheikh Abdulrazak Amir ameeleza kuwa miongoni mwa haki za mtoto kwa mzazi wake, hususan baba, ni kupatiwa jina. Amesisitiza kuwa mtoto ana haki ya kudai haki hiyo kutoka kwa baba yake. Aidha, amefafanua kuwa mama anaweza kutoa jina la mtoto, lakini anapaswa kwanza kushauriana na baba na kupata ridhaa yake kabla ya jina hilo kutolewa.
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 12:57:23 GMT
Music
Download
Comments
Mariam sufiani :
ndo amuite mwanangu ombeni
2026-11-07 17:43:14
11
Ummu saed :
hpo kwa baba kutoa majina ndo mlikosea wanatoa majina mabaya😅
2026-11-07 21:21:54
6
Asher Kassim :
kiatabu gn Aya ya ngapi
mambo Kwa ushahd bhnaa
2026-11-08 06:27:09
3
H,mrimbo🦋🥰 :
sas nd mtoe majina ya kurithi
2026-11-08 07:53:19
1
jannat :
labda sijamsukuma mimi leba[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] weeee.
2026-11-07 19:16:15
1
Zay B♊️ Beauty :
Hapana jmn hii dini itanishinda mm[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-08 05:40:53
0
winnie :
kat ya vitu ambavyo siwez kugombania ni jina la mtoto na siwez mm kutafta jina la mtoto wakat anababa yake ata nikizaa 10 wote atawaita yy
2026-11-08 08:49:15
1
Chinanaa❤ :
kumekuchaaa 😄😄 hii asije akaisikia baba chanja 😁😁😁
2026-11-07 16:57:30
3
honeyfer :
ndo watoto wote basi
2026-11-08 06:04:01
0
Baby nabu :
nakama jina alio pewa sija ridhia mm mama yake niapewe tu ivyo ivyo jmn
2026-11-08 06:34:44
0
Emmy Make-up 💄 :
mume wangu tushakubaliana wa kwanza ww wa pili mie😂😂😂 ukiiyona hii utanibadilikia😅
2026-11-07 17:43:16
1
Raiyan :
Baba ndio mwenye haq ya kutoa jina la mtoto Al-hazab 33:5 Qur-aan
2026-11-07 16:51:45
3
JATWAM FARM :
na kama baba alimkataa au aliyelekeza mtoto je
2026-11-07 17:53:20
0
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
jmn mbona nimempenda ghafra huyo kaka aliyeshika mtoto? moyo umepiga paaah
2026-11-08 06:31:46
1
better :
rahma, sumaiya na aboubakar
2026-11-07 19:46:27
2
Ablazuu :
Tuwape maua yao tunawashkuru kwa kutupa nafasi yakuchakua majina ya watoto🙏
2026-11-08 05:26:23
1
munah shaaban :
namwachia wapili nitamwambia mm
2026-11-07 19:16:57
1
cute ruu :
kweli kabisa shekh
2026-11-07 17:32:46
1
Grab yours👗 :
Baba angu alimpa jina mdg wang eti mwadawa😂 mam akasem kazi imekushinda akamuuta qudrat sa si umeona sheikh apo
2026-11-08 09:19:21
0
fatma matenga :
kama mie ninawwatoto 4 lakin sjaita ata mmoj nikitqk kuita qnanikataria
2026-11-08 12:06:18
0
Rey.Al-rasady :
Mgetupumzisha mashekhe mda mwngne aaah
2026-11-08 10:15:39
0
_.chilulu :
sina baba baba yupi tena anipe jina
2026-11-08 09:20:20
0
Mamie walid :
sawa shukran
2026-11-08 09:22:14
0
hawaa68 :
acheni kukuza mamb
2026-11-08 09:54:36
0
zuusel :
haya mawaidha yananikumbusha mbali san
2026-11-07 17:32:33
1
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.