@maria_robyttt: Nikimpata wangu naandika jina lake kwenye chapati🥹🤌🏿 #chapati#swahilifood#food#fyp#tiktokviral

𝑴 𝑨 𝑹 𝑰 𝑨
𝑴 𝑨 𝑹 𝑰 𝑨
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 13:33:12 GMT
373154
18419
451
661

Music

Download

Comments

pink.mellow6
Pink mellow :
Kuwa mzuri alafu unajua kupika iyo nayo ni barak kubwa sana
2026-11-07 16:07:03
684
wema0638
wema :
ambao hatujui kupika chapati mambo zenu
2026-11-09 07:19:03
181
sabiy496
NURU :
Chapat za kusukuma na mayai😳
2026-11-07 16:19:59
40
lithajr77
Litha7🇷🇼✨ :
igweeeeee Maria igweeeee🔥🙌
2026-11-07 13:39:33
281
julian_jm225
Dr Julian🩺 :
hatimae nmepata anaejua kupika chapati zilizo kuchambuka😁😋
2026-11-08 08:44:11
131
her...236
Joy🥀🖤 :
Much love, 🇬🇭
2026-11-13 00:37:32
0
kyilzo
SASHIMI 🌶️ :
Mimi nataka kuionja hio iliyoandikwa maria 😂😂😂
2026-11-07 13:43:08
52
rynah88
rynah collection :
Unambwembwe lkn maria😂😂😂
2026-11-07 13:43:39
60
its_mouryyn
Moury🤎 :
Jina langu silioni kwahyo hunipendi
2026-11-07 14:53:34
56
essiesammy1
essie sammy1 :
kadadaa kazuriiii afu kanajua kupikaa🥰🤗😋
2026-11-07 14:34:13
23
yuhynahsulyman
Beant Sullysh :
Mpishi aolewe😂👌🏻🤌🏻
2026-11-07 14:49:29
8
therealbee7
THEREALBEE❤️🍀🌺 :
Ambao tunaangalia video j5 mchn tujuane😂
2026-11-11 10:27:19
9
swaha.tz0
swaha tz :
ivi flampeni kam iyo naipata wap
2026-11-09 17:55:02
2
rukiakaima617
Ruccky :
maria anajua kupikapika sio kupika🤣🤣🤣 haya karibun mnichambe ila ukweli ndio huo but anajitahid
2026-11-08 16:30:28
1
clarah9378
clarah lukima jogging club :
kila nikojaribu jaman znakua kavu nifanyeje roho inauma 😔😔😔
2026-11-11 16:38:49
0
chichingoda1
chichingoda1 :
M nikipika zinakua kaukau sijui nakosea wapi😭
2026-11-09 10:34:47
0
maryr158
Mary ❤️ :
maria [Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-07 15:14:08
0
sumaiya.said1
Aviola❤️bonge la dada💞 :
kwenye hizo chapat huwez kukosa shombo ya yai mmh mm kwaupande wngu bora nikunie karot kuliko kuweka hivo yai
2026-11-08 07:13:15
0
cag0h
cAg0h💞° :
lete si tule wanaosema mbaya wapike zao tuzione°
2026-11-11 14:06:58
1
me_happiness0
Happy Luxe 🤍 :
will you😩 am asking for my bf😂
2026-11-08 05:35:21
0
babamunawwar
BabaMunawwar&Mundhir :
kuna mwenetu alifanya chapati zina makasiriko ya elnino 😁
2026-11-08 20:08:49
1
hunter_.21.offici
🪖CHAS£R💭🦅 :
Maria wangu huyo jamani ntakulinda kwa wivu mkubwa sana my Ozalima ☺️❤️
2026-11-10 22:15:49
1
pistar233
pistar233 :
Chapati za Zgen
2026-11-08 13:47:39
1
mbokaune01
mbokaune01 :
yaani unawezaje kupika chapati akati kwa Mank nanunua chap... mie nikitoka kitu lazima ikue bati....
2026-11-08 11:44:10
0
angelangeljuly54
Angela🍂🌸🦋 :
kwenye sukali umechanganganya na nn
2026-11-11 07:34:30
0
To see more videos from user @maria_robyttt, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About