@nsekul: HIZI NI PICHA MBILI, LAKINI ZINAELEZEA SAFARI MOJA YA MAISHA. ALHAMDULILLAH KWA KILA HALI. ❤️ 2017, nilikuwa nasimama kwa miguu yangu, nikiwa na ndoto nyingi na mipango mingi ya maisha. Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja maisha yangu yangebadilika kwa namna hii. 2026, baada ya ajali, nimejikuta katika hali ambayo sikuitegemea. Mengi yamebadilika, lakini jambo moja halijabadilika: moyo wangu wa kupambana na imani yangu kwa Mungu. Huenda miguu yangu haiwezi tena kunipeleka ninakotaka, lakini ndoto zangu bado zipo. Nimepoteza mengi, nimepitia maumivu mengi, lakini sijapoteza matumaini ya kuishi. #tiktok #fyp #trending #alhamdulillah #

0760749231 ADAM NSEKULE
0760749231 ADAM NSEKULE
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 November 2026 14:30:53 GMT
107587
8338
915
68

Music

Download

Comments

user13258142657987
tina🥰💫💞 :
Pole sana my brother
2026-11-08 10:18:55
0
nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
aya maisha jamani tupendane tu yaan wanadamu sis miili yetu ni kama karatasi
2026-11-07 19:40:04
110
mariam39782
mariam :
nataka nikwambie Msemo unaosema hujafa hujaumbika,sijawahi kuulewa,nasikila majaribu yanayotupata yanatoka kwa mungu,mambo mabaya yoote yanatoka kwa shetani,maana mungu anatuwazia mema tu nasio mabaya,niliwahi kuota ndoto mume wangu anatembelea magongo,nikakata rufaa juu ya hiyo hukumu ikiwa imetoka kwa adui,nataka nikwambie hv,baada yakupita muda mume wangu alipata ajali,ilikuwa avunjike mguu ,lkn hyo cku asbh yake,mungu alinisemesha nifunge siku nzima,nasikujua kama nilikuwa namuombea yeye,jioni wakati nafuturu nikapigiwa cm,mume wangu amepata ajali amevunjika mguu,nikawaambia mpeni,nikauunga mguu kwa maombi,akalala alipoamka mguu ukawa umejiunga wenyewe!!!,hadi sasa nimzima,shetani usipompinga atakutendea hila nyingi saaana!alietaka kumsababishia mume wangu awe kilema,leo yeye ndo kilema,maana ilibidi nimfatilie,sinaga jambo dogo!!
2026-11-08 03:08:12
18
naomy.julius5
Naomy🌹💞 :
Pole sana kipenz god is great
2026-11-08 11:05:17
0
catherine.assenga7
catherine assenga :
pole sana kaka mungu yupo pamoja nawe
2026-11-07 15:06:39
35
dsb525
dsb525 :
amen brother
2026-11-08 10:11:03
0
lillian.namonje
Lillian Namonje :
sending hugs
2026-11-08 11:15:23
0
sugardaze7
AAV_DRM d0ll💸 :
pole sana [Crying]
2026-11-08 08:20:29
0
leonard.ndaki
Leonard Ndaki :
pole bro
2026-11-08 10:41:46
0
papaiolobikoo1
papaiolobikoo :
pole san masha ndiyo hivyo
2026-11-07 15:10:02
5
kelvinremmyking
The👑 King's Heart Within :
ila Mungu Bado ni Mwema kaka, duniani hakuna Raha ya kudumu,Lakini tunalo tumaini la mwili mpya na maisha ya kudumu na yenye furaha ikiwa tutabaka katika Imani na kumjua Yesu kuwa ni Bwana, nakutia Moyo ndugu ,Mungu wetu ni Mwema hata katika magumu,lipo tumaini usije kumwacha YESU [Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray] Mungu akufariji na kukulipa sawa sawa na jinsi ulivyokubali kubeba jaribu hilo,Amen
2026-11-08 06:15:36
4
msaf.disginer
msafi classic ferniture :
malango ya baraka yakujilie kwa uweza wa jina la yesu
2026-11-08 03:46:07
11
anicya3
user7323028175748 :
mungu akutie nguvu yote n mipango ya mungu kikubwa wewe mzma inatosha kumshukuru mungu
2026-11-08 10:23:35
3
umnaa86
um naa@ :
mungu akupe kher kaka umenifanya nione kila nalolipitia kwa sababu ya mungu ikiwa ww huna miguu unamshukuru mungu [Pray] nimejifunza kushukuru kwa kila nyakat mungu akufikishe pale unapopahitaji ishaalah
2026-11-07 18:13:02
23
gracejoseph1994
grace joseph :
Mungu akutie nguvu brother
2026-11-08 08:26:39
2
user1627538124728
Tina :
jamani imeniuma Sana pole San 😭😭
2026-11-08 09:55:18
3
simulizizasauti
Story book :
pole sana kaka unapaswa kutambua kuwa bado hujatimiza kilichokuleta duniani ndiyo maana bado upo hai a mini kuwa MUNGU bado anakazi nawewe
2026-11-08 09:28:31
1
olybaby403
OLY BABY 🫂🤭❤️ :
Tuishi vzr sababu kesho yetu ni fumbo jmn 🥹
2026-11-07 22:33:42
3
tumaini.foya2
Tumaini Foya :
🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-08 03:14:20
1
lovenesspaul668
loveness :
pole sana
2026-11-08 05:41:40
1
divine.gracia4
La mignonne 🥰 murega🥰 :
Sorry my dear yote ni mipango y’a mungu 🙏🙏😭
2026-11-07 23:00:16
1
tabithaofficial
Tabitha Cosmetics Tz 🇹🇿 :
nimelia sana kwa ajili yako🥹naomba Mungu akukumbuke katika mapito yako yote , Mungu mwenye nguvu akusimamie nyakati zote🙏
2026-11-08 10:07:24
1
lutaya73
Lutaya :
Bro the most important aspect is you still have ability to call upon GOD LORD ALMIGHTY,and He wil answer your heart. God has still has a mission with you.
2026-11-08 09:09:10
0
zahariah.maviru
Zahariah Maviru :
mungu atakuponya kwa Kila Hali kwani Kila jalibu linamlango wakutokea
2026-11-07 21:10:55
2
pendo_712
pendo_ :
pole sana kaka mungu ndio kimbilio letu
2026-11-08 08:33:56
2
To see more videos from user @nsekul, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About