@boazdanken: Wakumpa Hongera ni huyu aliye vaa Joho! Hongera Sana Mke wangu @pastor_imanboaz Kwa kumaliza Masters of Arts in Divinity kutoka Chuo cha ACTS, Dodona. Sasa nenda kahuburi Injili.
Amen, hongera sana , degree yako ikamutukuze Mungu sasa
2026-11-07 16:27:02
7
Mr_Elisha💦 :
💪💪💪
MUNGU AKUTUNZE SANA KAKA
2026-11-07 14:58:40
8
qba 47 :
congratulations 👏
2026-11-07 20:09:23
0
kajala mtoto🍫👅 :
Wazazi wangu wa kiroho nawapenda mno🙏🙏Mungu awalinde siku zote Hongera sana mama mchungaji wetu Umeweza tena na tena🔥🔥🙏🙏
2026-11-07 18:35:07
3
Miss marry :
Hongera sana Mama Mungu akutunze🙏🙏
2026-11-07 20:13:18
0
Queen008 :
MUNGU AWALINDE AWAPE MIAKA MINGI SANA APA DUNIAN MKIMTUKUZA YYE PEKEE
2026-11-07 17:51:55
2
Madam@VAI :
hongera sana mtu wa Mungu
2026-11-07 16:26:45
2
unknown_26 :
barikiwa sana mtumishi wa mungu
2026-11-07 20:09:05
0
pp :
hongea Sana
2026-11-07 15:11:11
1
G2025 :
hongera mama nakupenda buree
2026-11-07 19:09:10
0
Leticia Mwapili :
Hongera sana, Mungu ni mwema
2026-11-07 16:45:40
0
moureenfelluzy :
wow wow ni mwez wa kifuasi Mungu akutie zaid kwa kusaidia wengine Tunakupenda San mama ❤️❤️❤️
2026-11-07 20:23:40
0
kalebu_17 :
hongera mama mbeba maono 🔥
2026-11-07 19:11:55
0
Ey wanyange :
Mungu awabariki sana sana
2026-11-07 20:42:26
0
Esther Isaack :
hongera dada
2026-11-07 18:09:40
0
Gl :
hongera sana Mungu awatunze sana
2026-11-07 18:55:12
0
jeneroza robert :
ameni
2026-11-07 18:25:46
0
Mashuda :
AMEN,Ubarikiwe sanaaa Mtumishi kwa level hiyo uliyofikia Mungu pekeee yake akutunze akuhifadhi usiku na mchana na Azidi kukuinua zaidi Sana na Akufanye uzidi kuwa wa viwango vya juu sanaaaa, Neema ya Mungu ukufunike huku uliko pamoja na familia yako
nawapenda wote
2026-11-07 18:22:28
0
Mbonea Mziray :
Hongera sanaaa Mama mtumishi....
2026-11-07 20:53:46
0
Neycmicky Bonnie ✨️🌹❤️ :
hongereni sana[Red heart]
2026-11-07 20:18:09
0
To see more videos from user @boazdanken, please go to the Tikwm
homepage.