@madam_leila: QUR'AN 2:155 ﴿ وَلَنَبْلُوَنَّكُم بِشَيْءٍ مِّنَ الْخَوْفِ وَالْجُوعِ وَنَقْصٍ مِّنَ الْأَمْوَالِ وَالْأَنفُسِ وَالثَّمَرَاتِ ۗ وَبَشِّرِ الصَّابِرِينَ﴾ [ البقرة: 155] "Hapana shaka tutakujaribuni kwa chembe ya hofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda(mazao). Na wabashirie wanao subiri" Unaweza kutazama kipindi hiki kwa urefu kupitia channel yetu Youtube {Madam Leila Abubakar}

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 November 2026 04:00:00 GMT
22583
3409
59
201

Music

Download

Comments

imanblacq8
imanblacq :
wallahi huyu ananiongea nimepoteza mtoto kumbe biashara ambayo ninayao ina pressure wazimu na kila siku Allah anistiri ananivukisha ... Allahu akbar
2026-11-08 08:14:51
12
agisha030
Agisha Martha :
I’m never alone Alhamdoulillah 🤲🏾
2026-11-08 08:20:14
5
user165521074800
miss #¥*maua🍏🌷🍀 :
mashallah allah akuhifadhi madam
2026-11-08 08:34:32
11
kiongowakiongo.ki
#Kiongowakiongo Kiongo :
Madam Leila i have never heard such a strong narrative for spiritual and.physical status benefits. ASANTE LEILA & BRO THEIR IN
2026-11-10 17:59:22
1
bashglow5
Bashglow :
U r intelligent maa Shaa Allah. love from bukoba.
2026-11-08 08:13:44
3
rajabumsalo410
monde009 :
maashallah napenda hata unavyozungumza
2026-11-08 06:33:31
3
sarah.mnyazi
Sarah Mnyazi :
Ama kweli subra ndio kila kitu,kukata tamaa sio sifa ya muumin
2026-11-08 12:50:14
3
duajumbe528
Dua Jumbe :
sante kwa kutukumbusha
2026-11-08 05:55:54
2
kasymtakidum
kasymtakidum :
Na ukiwa na Imman ndo ujue Mitihani inakuja juu yako Allah lazima akupime ukubwa wa Imman yako. mwanafunz ili afaulu ni lazima afanye mitihani na apate macksi nzur. ndo waumini wakaambiwa HAUTOONJA LADHA YA IMMAN MPKA UAMIN YA KUWA LILILOKUPATA LILIKUWA HALIKUKOSI NA LILILOKUKOSA HUKUPANGIWA
2026-11-09 12:37:03
1
ahmatar2024
ahmatar2023 :
yani madam ni very expert
2026-11-08 05:10:16
2
ibralulikela
Ibra Lulikela :
MaashaAllah
2026-11-08 06:06:06
2
rehemaibrah2
rehma :
hakika
2026-11-08 07:23:12
1
user6541553497509
user6541553497509 :
Mashaallah nakupenda kwa ajili ya allah madame leila
2026-11-08 18:59:49
1
saburi_ahmed005
saburi Ahmed :
mashalllah mama Leyla mawaidha yake mazuri
2026-11-08 12:34:50
1
mzuriasili1
🫧 :
Alhamdulillah
2026-11-08 07:56:58
2
user2806795092181
user2806795092181 mchumia one. :
Takbr
2026-11-08 09:56:52
1
mamy_rukys_collections
mamy_rukys_collections :
Mashaah
2026-11-08 09:41:55
1
jomba.chama
Jomba Chama :
kweli kabisa
2026-11-08 06:13:13
1
harerimanasango
Akimana Nouriat :
ndio ndio kabisa
2026-11-08 08:33:59
1
leyla.isambe
Lela Isambe :
Alihamdulillah wa jina
2026-11-08 08:34:53
1
ummyissa810
Ummy Issa :
hakika🙏
2026-11-08 06:13:15
1
dina.mfangavo
DINA MFANGAVO :
Kweli sahihi
2026-11-08 10:27:46
1
eric.shikongolo
Eric Daniel :
true
2026-11-08 05:01:16
1
mankashoo2025
mankashoo2025_shoes kariakoo :
2026-11-08 06:20:06
1
momo_dreezy
momo_dreezy🌹💗 :
Alhamdulillah 🙏
2026-11-08 04:43:11
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About